Jifunze Ndani ya Wiki Tatu Jinsi ya Kutengeneza Milioni Moja Kila Mwezi kwa Kutumia Mbinu za Kisasa za Network Marketing! Bila Kuathiri Kazi Yako  – Tumia Masaa 2 Pekee kwa Siku.”

Usipitwe na hii offer ya kuhudhura darasa la mafunzo bure ya jinsi ya kutengeneza milioni moja kila mwezi kwa kutumia mbinu za kisasa za network marketing
Karibu darasani kwetu Tujifunze Jinsi ya Kutengeneza kipato cha kuanzia Tsh 1,000,OOO kila mwezi kup
 

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

Mpedwa msomaji

Najua ni tamani lako na nitamanio la kila mtu kuwa na uhuru wa kifedha, Maana fedha ni jawabu la mambo yote.

Unatamani kujiingizia kipato, kitakacho kufanya utimize ndoto zako kwa haraka kama vile kujengea nyumba, kununua gari. Kusaidia wazazi wako. Kusomesha watoto wako, kula vizuri.

Kipato ulicho nacho hakitoshelezi na unatamani kuongeza kipata chako kwa kufanya kazi za ziada ambazo zitakupa uhuru wa kuendelea na kazi yako unayoifanya sasa?

Unatamni kujiingizia kipata cha angalau lakini tano (Tsh 500,000/=) hadi milioni moja (Tsh 1,000,000/=) au zaidi kila mwezi?

Basi huu ujumbe nimeandika kwa ajili yako unatakiwa kusoma mwanzo hadi mwisho

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

Moja ya biashara ambayo inatajwa kuwa ni biashara ya karine ya 21

Ambayo imekuwa mkombozi kwa watu wengi, ambao walifanikiwa kuwekeza muda wao katika kuifanya imewafanikisha sana.

Imewafanya wawe na uhuru wa kifedha na kupiga hatua kubwa sana kiuchumi na siyo tu kiuchumi bali pia biashara hii imetatua changamoto ya ajira kwa maelfu ya watu.

 

Katika nchi ya Tanzania siyo biashara ngeni sana,

Maana ina miaka zaidi ya  nane tangu kuingia hapa Tanzania uwenda na wewe umewahi kuisikia kwenye vyombo vya Habari au unajua watu wanaoifanya hii biashara.

Na hii siyo biashara nyingine bali ni biashara ya Network marketing.

Nitakwambia kwa undani kidogo juu ya hii biashara ya Network Marketing

 

Network marketing,

Pia inajulikana kama masoko ya mtandao au multi-level marketing (MLM),

Huu ni mfumo wa biashara ambapo bidhaa au huduma huuzwa moja kwa moja kwa watumiaji kupitia mtandao wa wauzaji au mawakala wa kujitegemea.

 

Hawa wauzaji wanapata faida sio tu kutokana na mauzo yao binafsi, bali pia kutoka kwa mauzo yanayofanywa na watu wengine waliojiunga na mtandao wao.

Wengi upenda kuita biashara ya karine ya 21, kwani imeajiri vijana wengi na ambao sasa wamefanikiwa kujenga uhuru wa kifedha ambao hapo hawakuwa nao

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

Usome kwa makini huu mfano utakupa picha pana jinsi biashara ya network marketing ilivyo.

Fikiria umeanzisha biashara ya kuuza virutubisho vya afya / Dawa za kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu.

Unawaambia rafiki zako kuhusu dawa au virutubisho hivi, na baadhi yao wanaamua kununua.

Kwa kununua kwao unapata kamisheni(Faida) kutokana na kila bidhaa unayouza.

Halafu, ikiwa mmoja wa rafiki zako anapenda biashara hiyo na akaamua kujiunga kama muuzaji, wao pia wataanza kuuza bidhaa.

Sasa, kila wanapouza, unapata kamisheni (Faida) ndogo kutokana na mauzo yao pia.

Na rafiki yako anaweza kuendelea kuwaambia wengine, na hivyo mtandao unaendelea kukua.

Hivyo, mapato yako yanatokana na juhudi zako binafsi pamoja na zile za timu yako,

Na hiyo ndiyo siri ya network marketing kuunda mtandao mkubwa wa watu wenye nia ya kuuza bidhaa zako.

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

Vigezo au sifa gani napaswa kuwa nazo ili kujiunga na hii biashara

Hii ni bishara inayotoa furusa ya usishiriki kwa kila mtu.

Maskini na Tajiri, Mfanyakazi wa serkali na asiye mfanya kazi wa serkali, mjasiriamali na hasiye na kazi, mwajiliwa na asiye mwajiliwa, anayejua kusoma na asiyejua kusoma, mwenye muda mwingi na mwenye muda kidogo, Kijana au Mzee.

Japo ukiwa unajua kusoma na kuandika itakurahisishia sana kujifunza ujuzi mpya utakao kufanya ufanikiwe kwa urahisi na kwa haraka sana katika hii biashara.

Kikubwa ni utayari wa mtu kufanya hii Bashara, kwani Unaweza kuifanya ukiwa nyumbani kwako, au sehemu uliyo ajiliwa

Haikufungi kufika ofisini kila siku inakupa uhuru wa muda na uhuru wa kufanya vitu vingine ambavyo ambavyo unatamani kuvifanya.

Uku ukijiingizia kipato cha ziada kitakacho kufanya ufikie uhuru wa kifedha. Na kufanya maendeleo makubwa kwenye Maisha yako.

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

Itanichukua muda gani kuona matunda ya hii biashara

Kama ilivyo kwenye biashara yoyote siku zote mwanzo uwa ni mugumu

Lakini kwa wale wanaofanikiwa kuushida huo ugumu mwanzoni basi kunakuwa na mazuri ya kufurahisha uko mbeleni.

Uwenda kuna rafiki zako au jamaa zako unao wafahamu ambao wanafanya biashara kama hizi za network marketing. Kwenye kampuni kama vile Eternal international, Allience, BF SUMA…. Na nyingine nying

Wewe ni shahidi Unaweza shuhudia jinsi walivyo fanikiwa kwa kiasi kikubwa  wanaendesha magari mazuri, wamejenga majumba ndani ya muda mfupi.

 

Kwa kadili nilivyo soma, kwa kadili nilivyoona watu waliyo kuwa serious na hii biashara walitumia muda miezi saba tu kupata zawadi za magiri na kujenga uwezo wa kujiigizia kipato cha Tsh 2M na zaidi kwa kila mwezi.

 

Najua na wewe unatamani kujijengea uhuru wa kifedha kwa kujiingizia kipato kikubwa kwa kutumia nguvu ndogo kama ndiyo,

Nipende kukualika kujiunga na darasa langu free kabisa kwa wale waliyo tayari kujifunza mbinu mpaya za kisasa za network marketing zirtakazo kufanya ufanikiwe kwenye hii biashara kwa muda mfupi .

Hata kama ulishidwa kufanya mwanzoni, basi nakuahidi kuwa nitakufundisha na kukusimamia hatua kwa hatu, kuhakikisha unajenga uwezo wa kujiingizia kipato ndani ya muda mfupi kwa kutumia mbinu za kisasa za network marketing

Nitakufundisha njia za kisasa za kidigital zitakazo kusaidia kufanikiwa kwenye hii biashara ndani ya muda mfupi

Kuanza kujiingizia kipata cha Tsh.200,000/= ndani ya mwezi mmoja wa mwanzo.

Na ikiwa utakuwa na juhudi za kutosha nakuahidi ndani ya miezi saba utakuwa na uwezo wa kuingia kipatao cha Tsh 1,000,000/= na zaidi.

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

Nitakupa mfano mmoja wa kampuni ya network marketing inayo uza bidhaa za afya na kutoa huduma za afya, Kuona jinsi mwanachama anavyo nufaika kwenye biashara hii (kampuni ambayo mimi ni miongozi mwa wanachama)

Na hiyo kampuni nitakayo kupa mfano wake hapa chini ni kampuni ya Eternal International

MUONGOZO WA BIASHARA KAMPUNI YA ETERNAL INTERNATIONAL COMPANY LIMITED

(Ngazi za madaraja kwa wanachama wa Eternal International)

Wanachama waliyojiunga na hii kampuni wamegawanywa kwenye madaraja au level mbalimbali kulingani na ufanisi wao kwenye kazi, Toka kwenye level ya kwanza au daraja la kwanza na kuendelea… hadi level au daraja la kumi ambalo ni daraja la juu zaidi.

Ngazi Daraja la Kwanza

Kila mwanachama mpya aliyejiunga na kampuni ya Eternal anatambulika kama mwanachama wa daraja la kwanza.

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

Ngazi Daraja la Pili

Vigezo vya kutambuliwa kama mwanachama wa Daraja la pili

  • Baada ya kufanya manunuzi binafsi, mwanachama atakayetimiza alama/pointi 100 au zaidi(100 PV) ndani ya kipindi cha mwezi mmoja au zaidi.

Faida atakazo pata mwanachama wa daraja la pili

  • Mwanachama atalipwa asilimia sita (6%) ya manunuzi binafsi aliyoyafanya katika mwezi husika.

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

Ngazi Daraja la Tatu

Vigezo vya kutambuliwa kama mwanachama wa Daraja la tatu

  • Baada ya kufanya manunuzi, mwanachama atakayetimiza alama/pointi 200 au zaidi (200 PV) ndani ya kipindi cha mwezi mmoja au zaidi.
  • Alama hizi zinaweza kuwa ni makusanyo ya manunuzi binafsi au manunuzi ya pamoja na timu.

 

Faida atakazo pata mwanachama wa daraja la tatu

  1. Mwanachama atalipwa asilimia ishirini na mbili (22%) ya manunuzi binafsi aliyoyafanya katika mwezi husika.
  2. Na kwa yule aliyejikusanyia alama/pointi hizi pamoja na timu basi atalipwa malipo mengine ya ziada yanayotokana na timu yake.

Zawadi atakazo pewa mwanachama wa ngazi daraja la Tatu

  • Ukifika Ngazi Daraja la Tatu kwa kipindi kisichozidi Mwezi Mmoja tangu ulipojiunga kuwa mwanachama. Utapewa zawadi ya Diary Book

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

NGAZI DARAJA LA NNE

VIGEZO (NI KIGEZO KIMOJA TU NDIO KINATUMIKA)

  • Awe ametimiza alama/pointi 1,000 au zaidi (1000 PV) ndani ya kipindi cha mwezi mmoja au zaidi. Alama hizi zinaweza kuwa ni makusanyo ya manunuzi binafsi au manunuzi ya pamoja na timu.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama watatu chini yake (direct downline) na kila mmoja wao yupo ngazi daraja la tatu na kwa pamoja wakatimiza alama/pointi 1,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) na kila mmoja amefikia ngazi daraja la tatu na kwa pamoja wakatimiza alama/pointi 2,200 au zaidi.

NB: Katika ngazi hii mwanachama binafsi (upliner) anaruhusiwa kufunga mwezi kwa wastani wa angalau alama/pointi 10 au zaidi.

Faida atakazo pata mwanachama wa daraja la nne

  • Mwanachama atalipwa asilimia ishirini na sita (26%) ya manunuzi binafsi aliyoyafanya katika mwezi husika.
  • Na kwa mwanachama aliyejikusanyia alama/pointi hizi pamoja na timu basi atalipwa malipo mengine ya ziada yanayotokana na timu yake.

Zawadi atakayo pewa mwanachama ngazi daraja la Nne

  • Ukifika Ngazi Daraja la Nne kwa kipindi kisichozidi Miezi Miwili tangu ulipojiunga kuwa mwanachama. Utapewa zawadi ya Document Folder

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

NGAZI DARAJA LA TANO

VIGEZO (NI KIGEZO KIMOJA TU NDIO KINATUMIKA)

  • Ikiwa mwanachama ana wanachama watatu chini yake (direct downline) na kila mmoja wao yupo ngazi daraja la nne na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 3,800 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) na kila mmoja amefikia ngazi daraja la nne na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 7,800 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la nne na ana wanachama wengine wanne ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la tatu na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 3,800 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama mmoja chini yake (direct downline) ambae amefikia ngazi daraja la nne NA ana wanachama wengine sita ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la tatu kwa pamoja WOTE wakatimiza alama 3,800 au zaidi.

NB: Katika ngazi hii mwanachama binafsi (upliner) anaruhusiwa kufunga mwezi kwa wastani wa angalau alama/pointi 20 au zaidi.

 

Faida atakazo pata mwanachama wa daraja la Tano

  1. Mwanachama atalipwa asilimia thelathini (30%) ya manunuzi binafsi aliyoyafanya katika mwezi husika.
  2. Na kwa mwanachama aliyejikusanyia alama/pointi hizi pamoja na timu basi atalipwa malipo mengine ya ziada yanayotokana na timu yake.
  3. Na ataongezewa malipo mengine tena ya ziada (leadership bonus) kwa sababu ya kufikia ngazi hii na kutambulika kama kiongozi.

Zawadi atakayo pewa wanachama ngazi daraja la Tano

  • Ukifika Ngazi Daraja la Tano kwa kipindi kisichozidi Miezi Mitatu tangu ulipojiunga kuwa mwanachama. Aidha Utapewa zawadi ya Simu Smartphone Au Bidhaa zenye thamani ya Dola 400 na kuandikiwa PV 300 katika kadi yako (Bidhaa na PV kwa pamoja).
  • Ukifika Ngazi Daraja la Tano kwa kipindi kisichozidi Miezi Mitano tangu ulipojiunga kuwa mwanachama. Aidha Utapewa zawadi ya Simu Ndogo AU Bidhaa zenye thamani ya Dola 300 na kuandikiwa PV 200 katika kadi yako (Bidhaa na PV kwa pamoja).

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

NGAZI DARAJA LA SITA

VIGEZO (NI KIGEZO KIMOJA TU NDIO KINATUMIKA)

  • Ikiwa mwanachama ana wanachama watatu chini yake (direct downline) na kila mmoja wao yupo ngazi daraja la tano na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 16,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) na kila mmoja amefikia ngazi daraja la tano na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 35,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la tano NA ana wanachama wengine wanne ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la nne na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 16,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama mmoja chini yake (direct downline) ambae amefikia ngazi daraja la tano NA ana wanachama wengine sita ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la nne kwa pamoja WOTE wakatimiza alama 16,000 au zaidi.

NB: Katika ngazi hii mwanachama binafsi (upliner) anaruhusiwa kufunga mwezi kwa wastani wa angalau alama/pointi 40 au zaidi.

Faida atakazo pata mwanachama wa daraja la sita

  1. Mwanachama atalipwa asilimia thelathini (34%) ya manunuzi binafsi aliyoyafanya katika mwezi husika.
  2. Na kwa mwanachama aliyejikusanyia alama/pointi hizi pamoja na timu basi atalipwa malipo mengine ya ziada yanayotokana na timu yake.
  3. Na ataongezewa malipo mengine tena ya ziada (leadership bonus) kwa sababu ya kufikia ngazi hii na kutambulika kama kiongozi.

Zawadi atakayo pewa wanachama ngazi daraja la Sita

  • Ukifika Ngazi Daraja la Sita kwa kipindi kisichozidi Miezi Minne tangu ulipojiunga kuwa mwanachama. Aidha utajipatia safari ya kwenda MOJA kati ya nchi hizi Mbili Dubai/Afrika Kusini AU Utapatiwa Pesa Taslimu Shilingi Milioni Mbili (2,000,000/=) na kuongezewa Bidhaa zenye thamani PV 1,000 (Bidhaa na PV kwa pamoja).
  • Ukifika Ngazi Daraja la Sita kwa kipindi kisichozidi Miezi Nane tangu ulipojiunga kuwa mwanachama.Aidha Utapewa zawadi ya TV inchi 42 ‘Flat Screen” AU Bidhaa zenye thamani ya PV 600 (Bidhaa na PV kwa pamoja).

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

NGAZI DARAJA LA SABA

VIGEZO (NI KIGEZO KIMOJA TU NDIO KINATUMIKA)

  • Ikiwa mwanachama ana wanachama watatu chini yake (direct downline) na kila mmoja wao yupo ngazi daraja la sita na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 73,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) na kila mmoja amefikia ngazi daraja la sita na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 145,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la sita NA ana wanachama wengine wanne ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la tano na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 73,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama mmoja chini yake (direct downline) ambae amefikia ngazi daraja la sita NA ana wanachama wengine sita ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la tano kwa pamoja WOTE wakatimiza alama 73,000 au zaidi.

NB: Katika ngazi hii mwanachama binafsi (upliner) anaruhusiwa kufunga mwezi kwa wastani wa angalau alama/pointi 80 au zaidi.

 

Faida atakazo pata mwanachama wa daraja la saba

  1. Mwanachama atalipwa asilimia arobaini (40%) ya manunuzi binafsi aliyoyafanya katika mwezi husika.
  2. Na kwa mwanachama aliyejikusanyia alama/pointi hizi pamoja na timu basi atalipwa malipo mengine ya ziada yanayotokana na timu yake.
  3. Na ataongezewa malipo mengine tena ya ziada (leadership bonus) kwa sababu ya kufikia ngazi hii na kutambulika kama kiongozi.

Zawadi atakayo pewa mwanachama ngazi daraja la Saba

  • Ukifika Ngazi Daraja la Saba kwa kipindi kisichozidi Miezi Nane tangu ulipojiunga kuwa mwanachama. Utapewa zawadi ya GARI yenye thamani sawa na Dola za kimarekani Elfu Nane (USD 8,000).
  • Ukifika Ngazi Daraja la Saba kwa kipindi kisichozidi Miezi Kumi na Sita tangu ulipojiunga kuwa mwanachama. Aidha Utajipatia safari ya kuenda nchi moja kati ya nchi wanachama wa Kampuni ya Eternal iliyopo bara la Afrika AU Fedha taslimu kiasi cha Shilingi Milioni Nne (4,000,000/=) na kuongezewa bidhaa zenye thamani ya PV 800 (Bidhaa na PV kwa pamoja).

NB: Kwa wanachama Ngazi Daraja la Saba, kwa ufafanuzi zaidi fuata maelekezo yaliyoambatanishwa katika ukurasa unaofuatia yenye kichwa cha habari ‘ZINGATIA’

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

NGAZI DARAJA LA NANE

VIGEZO (NI KIGEZO KIMOJA TU NDIO KINATUMIKA)

  • Ikiwa mwanachama ana wanachama watatu chini yake (direct downline) na kila mmoja wao yupo ngazi daraja la saba na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 280,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) na kila mmoja amefikia ngazi daraja la saba na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 580,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la saba NA ana wanachama wengine wanne ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la sita na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 280,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama mmoja chini yake (direct downline) ambae amefikia ngazi daraja la saba NA ana wanachama wengine sita ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la sita kwa pamoja WOTE wakatimiza alama 280,000 au zaidi.

NB: Katika ngazi hii mwanachama binafsi (upliner) anaruhusiwa kufunga mwezi kwa wastani wa angalau alama/pointi 180 au zaidi.

 

Faida atakazo pata mwanachama wa daraja la sita

  1. Mwanachama atalipwa asilimia arobaini na tatu (43%) ya manunuzi binafsi aliyoyafanya katika mwezi husika.
  2. Na kwa mwanachama aliyejikusanyia alama/pointi hizi pamoja na timu basi atalipwa malipo mengine ya ziada yanayotokana na timu yake.
  3. Na ataongezewa malipo mengine tena ya ziada (leadership bonus) kwa sababu ya kufikia ngazi hii na kutambulika kama kiongozi.

Zawadi atakayo pewa wanachama ngazi daraja la Nane

  • Ukifika Ngazi Daraja la Nane kwa kipindi kisichozidi Miezi Kumi na Mbili tangu ulipojiunga kuwa mwanachama. Utapewa zawadi ya GARI yenye thamani sawa na Dola za kimarekani Elfu Kumi na Nane (USD 18,000).
  • Ukifika Ngazi Daraja la Nane kwa kipindi kisichozidi Miezi Ishirini na Mbili tangu ulipojiunga kuwa mwanachama. Utapewa zawadi ya GARI yenye thamani sawa na Dola za kimarekani Elfu Kumi (USD 10,000).
  • Mwanachama YEYOTE atakayefikia Ngazi Daraja la Nane (bila kujali muda aliotumia, kakidhi au hajakidhi kigezo cha zawadi tajwa hapo juu) atapelekwa safari ya CHINA. Lengo la safari ni kumpa hamasa na kumtia moyo kwa kufikia ngazi hiyo)

Huo ndiyo mfano wa jinsi mwanachama anavyo nufaika kwenye hii biashara

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

NGAZI DARAJA LA TISA

VIGEZO (NI KIGEZO KIMOJA TU NDIO KINATUMIKA)

  • Ikiwa mwanachama ana wanachama watatu chini yake (direct downline) na kila mmoja wao yupo ngazi daraja la nane na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 400,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) na kila mmoja amefikia ngazi daraja la saba na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 780,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama wawili chini yake (direct downline) ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la nane NA ana wanachama wengine wanne ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la saba na kwa pamoja WOTE wakatimiza alama/pointi 400,000 au zaidi.
  • Ikiwa mwanachama ana wanachama mmoja chini yake (direct downline) ambae amefikia ngazi daraja la nane NA ana wanachama wengine sita ambao kila mmoja yupo ngazi daraja la saba kwa pamoja WOTE wakatimiza alama 400,000 au zaidi.

NB: Katika ngazi hii mwanachama binafsi (upliner) anaruhusiwa kufunga mwezi kwa wastani wa angalau alama/pointi 180 au zaidi.

 

Faida atakazo pata mwanachama wa daraja la tisa

  1. Mwanachama atalipwa asilimia thelathini (45%) ya manunuzi binafsi aliyoyafanya katika mwezi husika.
  2. Na kwa mwanachama aliyejikusanyia alama/pointi hizi pamoja na timu basi atalipwa malipo mengine ya ziada yanayotokana na timu yake.
  3. Na ataongezewa malipo mengine tena ya ziada (leadership bonus) kwa sababu ya kufikia ngazi hii na kutambulika kama kiongozi.

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

Changamoto kubwa ya hii biashara ni hipi

Haukuna biashara ambayo haina changamoto, kama zilivyo biashara nyingine biashara ya network pia inachangamoto zake nazo ndo hizi:

Ni kupata mtu au watu wa kujiunga kwenye munyororo wako yani downline wapya– ili kutengeneza timu utakayo shirikiana nayo ili kufanya mauzo na kujiingizia faida kubwa.

Kuwapata wateja wa kutosha kununua bidhaa  na hii siyo kama wateja hawapo. Ila jinsi ya kuwafikishia ujumbe ndiyo mara nyingi tumekuwa tukikosea au tukitumia njia ambazo siyo sahii yaani haileweki.

Kutokuwa na maarifa sahii ya kutumia mitandao ya kijamii kwenye kufanya hii biashara.

Katika darasa letu tutaenda kujifunza jinsi ya kutatua changamoto moja baada ya nyingine kwa kujifunza mbinu za kisasa na za kidigital jinsi ya kufanya hii kazi kwa urahisi ili kupata matokeo makubwa

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

Gharama za kujiunga au kuanziosha bishara hii

Hizi biashara hazihitaji kiasi kikubwa cha fedha kuanzisha au kujiunga

Na kwa baadhi ya kampuni unajiunga bure kabisa bila gharama yoyote

Ila kwa baadhi ya kampuni unajiunga kwa gharama ndogo amboyo hiyo fedha kwa asilimia 70% inarudi kwako.

Kwa maana hii

  1. Kampuni itakupa uniform kama vile kofia, na T-shirt
  2. Itakupa majarida au machapisho mbalimbali kuhusu huduma zao au bidhaa zao
  3. Na sambamba na hilo mtu aliye fanikiwa kukupatia elimu na ukaamua kujiunga kwenye hiyo biashara atapatiwa pia kiasi cha asilimia 10% hadi 20% ya gharama uliyolipa Kama zawadi au pongezi kwa kufanikiwa kumuunganisha mtu mwingine kwenye network
  4. Na asilimia 10% zitakuwa kwa ajili ya shughuli za uendeshaji wa kampuni.

Hii biashara ni biashara ambayo imeleta suruhisho la ajira kwa vijana wengi

Kwani kampuni ishatengeneza bidhaa, ishalipa kodi zote yaani wewe, hakuna sehemu utapambana na TRA wala utawaza kulipa kodi.

Kwa tafasili fupi ili uwelewe

Ni sawa na kusema wewe unakuwa unafanya kazi kama dalali wa kampuni na kampuni inakulipa kwa uzuri kabisa

Tena siyo tu kwa bidhaa ulizo ziuza bali pia kwa bidhaa zilizo uzwa na downline wako.

Kwa hiyo kwa kadili unavyotengeneza timu kubwa ndivyo unavyojijengea nafasi ya kujiingizia kipato kikubwa.

Na kipato kikubwa kitatokea endapo timu nzima mutashirikiana kwa juhudu zote kufanya mauzo na kuwapa elimu wengine ambao hatimaye wataamua kujiunga kwenye munyororo wenu.

Kwa kampuni nyingi hapa Tanzania ninzo zifahamu, gharama ya kujiunga ni kati ya Tsh 50,000/= hadi Tsh 70,000/=

Bofya hapa chini kufanya usajili ya kuhudhuria darasa

Huu ni mfano wa Mfuno tutakao utengeneza wa Customer Acquisition Engine Bofya hapa kuangalia mfano wa huo mfumo kwa njia ya video

Vitu tutajifunza kwenye hili darasa

  1. Copy Writting
  2. Jinsi ya kuandaa sales page
  3. Customer Acquisition Engine (CAE)
  4. Graphics designing kwa kutumia photoshop
  5. Jinsi ya kutumia artificial intelligence (AI) kuandika Copy writing au maneno ya kumshawishi mteja kununua bidhaa au Huduma
  6. Jinsi ya kutengeneza website bila kutumia code (hata kama wewe haujui chochote kuhusiana na website designing)
  7. Instagram akaunti optimization
  8. Instagram tech
  9. Jinsi ya kupata downline 20 kila mwezi kupitia mtandao
  10. Instagram tech (kuondoa shadow banner, kufuta madeni na kuondoa restrictions)
  11. Mbinu 18 za kurusha sponsored ads
  12. Kutumia business profile google
  13. Kuepukana na apple charges mtandaoni

huu ujuzi wote ndiyo tutakao uunganisha ili utuletee matokea tunayo tarajia kwenye hii biashara ya network marketing

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

Darasa litafanyika wapi?

Darasa litaendeshwa kwenye ofisi za eternal international zilizopo majumba sita, Barabara ya Nyerere Jirani na uwanja wa ndege wa Julius Nyerere

Kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi jioni

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

Tahadhari, Tahadhari, Tahadhari

Hili darasa ni kwa ajili ya wale waliyo serious tu, na waliyo tayari kujifunza. Ikiwa haupo tayari basi usifanye registration ya kuhudhuria darasa hili.

Waliyo tayari kutoa muda wao usiyopungua masaa manne ndani ya wiki tatu za mwazo kukaa chini na kujifunza na kufanyia kazi kile walichofundishwa.

Ikiwa haupo tayari kutoa muda wako na kuwa serious wakati wa kufundishwa mbinu mpya basi usiangaike kabisa kujiunga kwenye hili darasa.

Bofya hapa chini kufanya usajili wa kuhudhuria darasa

 

 

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.

1 thought on “Jinsi ya Kutengeneza Milioni Moja Kila Mwezi kwa Kutumia Mbinu za Kisasa za Network Marketing!”

  1. Pingback: Jinsi ya Kupata Wateja Wengi na Kujenga Biashara Imara Kupitia Mafunzo ya Network Marketing -

Comments are closed.

Scroll to Top