Karibu upime afya yako Leo (Vipimo vya mwili mzima)
Usipitwe na hii offer, kupima afya ya mwili mzima, itakuwepo kwa muda wa wiki moja tu
Mpedwa msomaji…..,
- Umekuwa ukisumbuliwa na dalili mbali mbali kama vile homa, tumbo kuuma, kichefuchefu, mwili kuishiwa nguvu na haujui ni ugonjwa gani unakusumbu?
- Unapenda kujua ni ugonjwa gani unakusumbua kwenye mwili wako ili uchukuwe hatua za matibabu ya haraka kabula ya ugonjwa kuenea na kuwa mbaya zaidi.
- Umeakuwa ukipima mahabara na kuambiwa una UTI, ila licha ya kupewa dawa za UTI bado hauponi?
- Unatamani kufanya vipimo vya mwili mzima (General Body checkup) kwa gharama nafuu chini ya Tsh 30,000/=
- Unapenda kuondokana na wasiwasi na kuwa na uhakika zaidi kuhusu hali ya afya yako.
- Au wewe ni mgonjwa wa muda mrefu, wa magonjwa kama vile shinikizo la damu, kisukari, na magonjwa ya moyo, na wanahitaji kufuatilia hali yako ya kiafya. Ili kujua ugonjwa wako umefikia hatua gani, ili kujua dawa unazotumia zinakusaidia ua hazikusaidii
- Je, ungependa kufanya Vipimo vitakavyo kusaidia kugundua dalili za awali za magonjwa ambayo yanaweza kuzuiwa au kutibiwa kabla hayajafikia hatua mabaya ambacho hayawezi kutibika tena. Magonjwa kama ya moyo,saratanina, Hepatitis B (ugonjwa wa ini) na mengine mengi.
Kama hayo ndiyo matamanio yako, suruhisho limepetikana (Bofya hapa)
Basi unahitaji kusoma kila neno katika ukurasa huu kwa sababu..
“Unaenda kugundua Nguvu Iliyojificha ya Uchunguzi wa Mara kwa Mara wa Afya: Jinsi Vipimo Rahisi Vinavyoweza Kuzuia Matatizo Makubwa ya Afya” Ambayo yanaweza kutibika tu katika hatua za awali na mara baada ya hapo hayawezi tena kutibika kabisa.
Unataka kuchunguza afya yako (Bofya hapa)
Najua ni tamanio lako na nitamanio la kila mtu kuishi Maisha marefu, hakuna mtu anapenda kufa mapema,
Au kuwa na afya mgogoro inayo sababishwa na maradhi ambayo yangezuilika kama yangegundulika mapema basi mtu angepata matibabu na kupona kabisa.
Nitakupa kisa cha rafiki wa mama angu mzazi, aliyeitwa Janeth hapo mbele kidogo
Aliye ambiwa na Daktri kuwa
“hatua ugonjwa wako ulipo fikia hauwezi kupona, ila kama ungewahi kufika kwetu miezi mitano nyuma ungetibiwa na kupona, lakini kwa sasa umechelewa sana Ishi tu kwa kumtegemea Mungu ukingoja siku yako”
Bofya hapa kuwahi vipimo mapema
“Usipuuzie Dalili za ugonjwa, Unajiingiza kwenye Hatari Kubwa: Usiruhusu Kisa cha Janeth Kikutokee—Saratani Ilipogundulika, alikuwa amechelewa Sana. Pima Afya Yako Sasa!”
Bofya hapa kama unataka kupima afya yako
Utajisikiaje daktari akikwambia ugonjwa wako kwa hatua uliyo fikia hauwezi tena kupona, ungewahi mapema tungeweza kukufanyia matibabu na ukawa na afya njema kabisa lakini kwa sasa haiwezekani kabisa Tungoje maamuzi ya Mungu juu yako.
Haya ndiyo maneno aliyo ambiwa Janeth na daktari-
Kuna magonjwa kadhaa ambayo hayaonyeshi dalili za wazi katika hatua za awali, na yanapokuja kuonyesha dalili, mara nyingi huwa yamefikia hatua za juu ambapo matibabu ni magumu au hayawezekani kabisa.
Nitakwambia kwa ufupi baadhi ya magonjwa hayo hapa chini kabula ya kuendelea na yaliyo mpata dada Janeth
Bofya hapa kuwahi vipimo haraka
01. Saratani (Cancer)
Saratani nyingi kama vile saratani ya kongosho (pancreatic cancer), saratani ya ini, na saratani ya mapafu
Mara nyingi hazitoi dalili zozote zinazoonekana kwa hatua za awali
Hadi hatua za mwisho za ugonjwa.
Kwa wakati huu, saratani inaweza kuwa imesambaa (metastasized) na inakuwa vigumu kuitibu.
02.Ugonjwa wa Figo Sugu (chronic kidney disease – CKD)
Ugonjwa wa figo sugu unaweza kusonga mbele polepole
Na bila dalili yoyote hadi figo zimeshindwa kufanya kazi kabisa.
Dalili kama uchovu, uvimbe, au kubadilika kwa mkojo zinaweza kuonekana katika hatua za mwisho.
03. Saratani ya Ovari (Ovarian Cancer)
Saratani hii mara nyingi haitoi dalili za wazi katika hatua za awali
Na dalili zinazoonekana zinaweza kuwa zisizo maalum
Kama vile maumivu ya tumbo, kuvimbiwa, au kichefuchefu.
Hii inasababisha ugonjwa huu kugundulika katika hatua za mwisho.
04. Saratani ya Koloni na Rectum (Colorectal Cancer)
Saratani ya koloni na rectum inaweza kuwa na ukuaji wa polepole na dalili zinaweza kuwa zisizo maalum kama kubadilika kwa tabia ya choo au damu kwenye kinyesi. Inapogunduliwa katika hatua za mwisho, mara nyingi inakuwa vigumu kutibu.
05. Ugonjwa wa Hepatitis B na C (Chronic Hepatitis B and C)
Ugonjwa huu usababishwa na virus ambayo uwenda kushambulia ini (cirrhosis)
Lakini dalili zake zinaweza kuwa za taratibu sana
Au hata kutokuwepo kwa miaka mingi hadi ini limeharibika vibaya sana.
06. Ugonjwa wa Moyo wa Mishipa (coronary artery disease)
Uvimbe wa mishipa ya damu unaosababisha magonjwa ya moyo unaweza kukua polepole bila dalili yoyote dhahiri
Hadi mshutuko wa moyo (heart attack) au kiharusi (stroke) kitokee.
07. Ugonjwa wa Kinga Mwili Kupungua (HIV/AIDS)
Baada ya mtu kuambukizwa na HIV, wanaweza kukaa kwa miaka kadhaa bila dalili yoyote,
Lakini baadaye ugonjwa unapogeuka kuwa UKIMWI (AIDS), kinga ya mwili inashuka sana na magonjwa mbalimbali yanashambulia mwili.
Kugundua mapema magonjwa haya kupitia vipimo vya mara kwa mara au uchunguzi wa kiafya ni muhimu sana ili kuweza kuyatibu au kuzuia kuenea kwake kwa ufanisi zaidi.
Zingatia hili…
Baadhi ya magonjwa haya kama vile saratani yanaweza kuwa na tiba bora zaidi iwapo yatagundulika mapema.
Gundua ugonjwa wako mapema (Bofya hapa kupata huduma ya vipimo vya mwili mzima)
Basi turudi kwa kisa cha Janeth…..
Janeth alikuwa mwanamke ambaye kila mtu alitamani kuwa kama yeye mpambanaji kwelikweli na aliyefanikiwa.
Alitolewa mfano kwenye vikoba vya kina mama kama mfano wa kuigwa wa jinsi wanawake wanavyo paswa kupambana kiuchiumi.
Janeth Kwa miaka mingi, aliishi maisha yenye shughuli nyingi, akiweka mbele kazi yake (ya ujasiliamali wa nguo, vyombo vya umeme).
Alikuwa mchapakazi hodari,
Kila alipohisi uchovu au maumivu madogo ya tumbo, aliyatupilia mbali
akiamini ni matokeo ya uchovu wa kazi na majukumu ya kila siku.
“Ni kawaida tu,” alikuwa akijiambia. “Ninahitaji tu kupumzika kidogo.”
Lakini mwaka ulivyopita, hali ya Janeth ilianza kubadilika. Uchovu ulizidi, na mara kwa mara alihisi kichefuchefu.
Alianza kupoteza uzito bila kuelewa kwa nini, na alikuwa na hisia za uvimbe ndani ya tumbo lake.
Hata wakati hali ilipozidi kuwa mbaya, Janeth aliendelea kupuuza ishara hizo.
“Nina majukumu mengi sana,” aliwaza, “sina muda wa kwenda hospitali kwa sasa.”
Hatimaye, baada ya kushawishiwa sana na marafiki na familia, Janeth aliamua kwenda hospitali kwa ajili ya vipimo.
Alifanya hivyo, si kwa sababu alikuwa na wasiwasi mwingi, bali ili tu kutuliza mawazo ya wapendwa wake.
Hakuamini kwamba jambo lolote kubwa linaweza kuwa linamsumbua.
Matokeo ya vipimo yalipokuja, Janeth alipata habari ambazo hakuweza kuzitarajia.
Madaktari walimwambia alikuwa na saratani ya kongosho,
ugonjwa ambao ulikuwa umekua kimya kimya kwa miaka kadhaa.
Saratani hiyo iligundulika ikiwa tayari imeenea hadi sehemu nyingine za mwili wake.
Kwa masikitiko makubwa, madaktari walimwambia kuwa ugonjwa huo ulikuwa katika hatua ya nne, hatua ya mwisho ambapo matibabu hayakuwa na nafasi kubwa ya kumsaidia.
daktari mmoja alisema kwa huzuni “Kama tungekuona mapema, huenda tungeweza kufanya kitu.
Lakini sasa, tunachoweza kufanya ni kukupatia dawa za kupunguza maumivu na dalili nyingine, ili uweze kuishi kwa faraja kadri ya uwezo wetu.”
Janeth alihisi dunia ikimwanguika.
Hakukuwa na matumaini ya kupona, na kilichobaki kwake kilikuwa ni kusubiri siku zake za mwisho.
Alijutia kila wakati aliopuuza ishara za mwili wake, kila mwaka alioshindwa kwenda kwa vipimo vya kawaida kwa sababu ya kazi na majukumu mengine. Alitamani angeweza kurudisha wakati nyuma, kujipa nafasi ya kuangalia afya yake kwa uzito zaidi.
Bofya hapa (Kama unataka kuchunguza afya yako / vipimo vya mwili mzima)
Kwani nimekusimulia kisa hiki cha dada Janeth
Kisa cha Janeth ni kioo cha kile kinachoweza kumtokea yeyote kati yetu.
Ni ukweli mchungu kwamba kuna magonjwa yanayoweza kukua kwa muda mrefu bila dalili za wazi, kama saratani ya kongosho, figo sugu, au hata ugonjwa wa moyo. Na unapokuja kugundua, mara nyingi yanakuwa tayari yamefikia hatua mbaya sana.
Kwa hiyo, tunakuhimiza sana kupima afya yako.
Usisubiri hadi dalili ziwe kali kama ilivyokuwa kwa Janeth.
Njoo kwetu kwa vipimo vya tukufanyie vipimo vya mwili mzima.
Uchunguzi wa mapema unaweza kuokoa maisha, unaweza kufanya tofauti kati ya kupona na kupoteza matumaini.
Usiruhusu kazi au shughuli za kila siku au ubahiri wa fedha zako zikuzuie kujali afya yako.
Afya yako ni muhimu zaidi ya chochote kile,Bila afya njema uwezi fanya kazi,uwezi fikiria vizuri na mengine mengi na tunataka kuhakikisha unaishi maisha marefu na yenye afya.
Usiruhusu kisa cha Janeth kiwe kisa chako. Pima afya yako leo. Karibu kwetu kwa uchunguzi na ushauri wa kitaalamu. Afya yako ni kipaumbele chetu.
Bofya hapa kupata huduma za vipimo vya mwili mzima
“Usisubiri Dalili kuwa kali zaidi, kwani utakuwa umechelewa: Fanya Vipimo vya Afya Leo na Hakikisha Usitawi Wako wa Maisha!”
Uwenda na wewe ni muhanga wa kutopima afya yako kabisa hata kama unajisikia dalili za kuumwa au basi uwenda siyo muunga ila umekuwa ukijiuliza kwa nini watu wengi hawana utamaduni wa kupima afya zao
Wamekuwa waumini wa Kwenda kwenye maduka ya dawa na kuchukua dawa za kupoza maumivu tu, wakati ugonjwa ukiendelea kukua ndani ya mwili.
Achana na Matumizo holela ya dawa (Pima kwanza) Bofya hapa kwa huduama za vipimo vya mwili mzima
Hipi ni sababu kwako inayokufanya usite kufanya vipimo?
Je ni gharamma za matibubu endapo ukipimwa na kugundulika kuwa ni mgonjwa
Ni na Habari njema kwako, nikufaamishe tu kuwa ofisini kwetu hatuishii kutoa huduma za vipimo tu.
Kwa wagonjwa wanaogundlika kuwa na shida mbalimbali za kiafya wamekuwa wakipatiwa matibabu kulingana na changamoto zao.
Tunamshukuru Mungu sana maana shuhuda zao zimekuwa Chanya na za kututia moyo kwani dawa zetu zimekuwa zikiwasaidia sana
Je ni kukosa ufahamu wa kutosha
Juu ya umuhimu wa kufanna vipimo vya afya mara kwa mara ndiyo maana haupima afya kabisa au upima afya pale tu wanapojisikia kuumwa au unapojisikia vibaya ili kugundua kinacho kusumbua.
Je ni Imani potofu
uwenda imechangia kwa kiasi kikubwa wewe kutokufanya vipimo juu ya afya yako.
Na hivyo unapojisikia kuumwa unakimbilia kwa waganga wa kienyeji.
Na uwenda hauendi kwa waganga wa kienyeji lakini unapojisikia kuumwa unakimbili dawa za maumivu za ibuprofen, diclofenac na paracetamol
Ili kutuliza maumivu na Maisha kuendelea
Bila kutambua ya kwanza hizi dawa hazitibu ugonjwa ila zinakupa nafuu ya muda kidogo tu na ugonjwa unaendelea kukaa kwa ndani ya mwili wako.
Hofu ya kugundulika kuwa na ugonjwa mbaya kama vile kansa, VVU.
Na hivyo kuamua kutokufanya vipimo ukihisi kuwa unaweza kugundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo.
Hofu ya namuna hii unatakiwa kuishinda kabisa unajua kuna aina za kansa ambazo zikigundulika mapema zinaweza kutibika
Na ukichelewa kuzingundua hautaweza kuzitibu tena.
Sasa na mimi nikuulize swali bora kuigundua mapema ili tuitibu au tuchelewe kuigindua na ishindikanike kutibika kabisa?
Ok uwenda siyo kansa wewe unahofia maambukizi ya VVU,
je unatambua ya kwamba kuna watu wana maambukizi ya VVU lakini hawajawahi kulazwa hospital au kuugua na kushidhwa kuendelea na majukumu yao ya kikiazi ya kila siku.
Hii ni kwa sababu walijigundua mapema kupitia vipimo na kuanza matibabu kabula ya kinga mili yao kushuka sana.
Na wengine wapo na maambukizi wamelazwa mahospitalini na wengine wapo vitandani majumbani kwa sababu walichelewa kugundua ugonjwa wao
Na walipo kuja kuugundua ulikuwa umefikia hatua mbaya na wengine mbaya zaidi kiasi cha kupoteza Maisha.
Naamini hapa nimefungua akili yako na sasa umeanza kuona umuhimu wa kufanya vipomo vya hiari juu ya afya yako hata kama haujisikii kuumwa.au unajisikia dalili ambazo bado unauwezo wa kuzivumilia.
Maana wengi uamini kugundua ugonjwa Fulani ndani ya mwili wa mtu ni kufa haraka.
Jambo lisilo sahii kabisa bali kugundua ugonjwa ni hatua kwanza ya kutibu ugonjwa au kumsaidia mgonjwa kuishi siku nyingi pasipo na mateso endapo ugonjwa huo hautibiki.
Unahofia kupata huduma duni
au kutokupata majibu sahihi ya vipimo toa kwa mpimaji, sisi tunatumia tekinolojia za kisasa za kuchunguza mifumo ya mwili na kugundua shida hipo maeneo gani?
Unahofia upungufu wa watoa huduma za vipimo vya kiafya,
au kutokuwepo kabisa kwa watoa huduma za vipimo vya afya kumechangia wewe kutokupima kabisa afya yako. Sisi tunavyo vituo katika maeneo mbalimbali mikoa yote Tanzania bara na visiwani ambapo Unaweza kufika na kupatiwa huduma za vipimo. (Utapiga simu na tutakuelekeza kituo kipo maeneo gani)
Uwenda kwako wewe fedha za Kwenda kupima afya yako siyo jambo gumu ila ubize wa kazi unakukosesha muda wa Kwenda kufanya vipimo au checkup ya afya yako.
Lakini nikwambie, afya ndiyo kila kitu ndugu yangu, afya yako ikiaribika hata hiyo kazi hautaweza kuendelea nayo zaidi utalala kitandani.
Dada yangu Janeth alipokuwa akisikia sindano aliogopa sana sana
Uwenda na wewe ni miongoni mwa watu wanaogopa sindano na kuchukuliwa damu kwa ajili ya vipimo.
Na imekuwa sababu ya wewe kutokwenda kufanya vipimo – Napenda kukwambia tunao madakatari na manurses ambao wanauzoefu wa muda mrefu sana kiasi cha kuweza kukutoa damu pasipo kusikia maumivu makali.
Bofya hapa kupata huduma ya vipimo vya mwili mzima
Vipimo gani utafanyiwa ukifika ofisini kwetu na machine gani zinatumika
Tunatumia machine ya “Biocare Health Analyzer” kutoka nchini China,
Mashine ya kisasa ambayo ina uwezo wa hali ya juu kuchunguza mifumo mikuu ya mwili wako.
Kwa kupitia teknolojia hii ya kipekee, tunachunguza mifumo muhimu ya mwili kama mfumo wa neva, mfumo wa homoni, mfumo wa moyo na mishipana mingine muhimu ili kupata picha kamili ya afya yako.
Kifaa hiki kina uwezo gani?
- kinatathimini jinsi mifumo muhimu ya mwili inavyofanya kazi, kama mfumo wa neva, mfumo wa homoni, mfumo wa moyo na mishipa, na mengine.
- Kifaa hiki kinaweza kutoa uchambuzi mpana wa viashiria vya magonjwa, ikiwa ni pamoja na viwango vya homoni (Hormonal imbalance), shughuli za neva, viwango vya kimetaboliki, na utendaji wa viungo.
- Kifaa hiki kimeundwa kugundua matatizo ya kiafya mapema kabla hayajawa makubwa, kuruhusu hatua za mapema za matibabu na mapendekezo ya afya ya kibinafsi.
- Kinaweza kuwa na kiolesura (User-Friendly Interface) rahisi kutumia kwa wagonjwa na wauguzi ili kuona na kuelewa matokeo kwa urahisi.
Usikose fursa hii ya kipekee kuboresha afya yako kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu na timu yetu ya wataalamu waliojaa ujuzi.
Piga simu (0746850187) au fika ofisi kwetu (Mjumba sita, barabara ya Nyerere, Jirani na uwanja wa ndege wa Julius nyerere) na jiandae kuimarisha maisha yako kwa afya bora!
Gharama za zetu za vipimo
Uwenda hauna bima ya afya ambayo ingekuwezesha kupata huduma za vipimo, lakini sasa unalazimika kulipia pesa toka mfukoni ili kupata huduma za vipimo.
Na gharama za vipimo siku hizi ni ghari sana.
Mara utasikia tutakufanyaia Full blood picture 15,000/=, Tutakufanyia ultrasound kwa Tsh 20,000/=, Tutakufanyia CT Scan na vingine vingi
Kiasi kwamba ukijumulisha gharama za vipimo (Checkup ya mwili mzima) unakuta ni laki moja au zaidi ya laki moja (Tsh 100,000/= au zaidi)
Hivyo mimi nikikwambia nitakufanyia vipimo vya mwili mzika kwa Tsh 50,000/= nitakuwa nimekufanyia bei rafiki sana.
Lakini kwa offer iliyopo hautafanya vipimo vya mwili mzima kwa 50,000/=
Ila utafanya vipimo kwa nusu ya gharama hiyo yaani Tsh 25,000/= tu
Kwa sabubu sisi tunazo mashine za kisasa toka nchini china zenye uwezo wa kuangalia mifumo mbalimbali ya mwili kwa wakati mmoja na kugundua changamoto iko wapi na kitu gani kifanyike kutatua hiyo changamoto.
Lakini tunaamini mara baada ya wewe kufanya vipimo kwetu utakuwa balozi mzuri wa kuwaambia wengine juu ya huduma zetu na hivyo tutapata wateja wengine wengi watako kuja kuhudumiwa.
Bofya hapa kwa huduma za vipimo vya mwili mzima
Bofya hapa kujaza fomu ili kupagwa kwenye ratiba ya kuonana na daktri
Muda wa offer
Offer hii ya kufanya vipimo vya mwili mzima kwa gharama ya Tsh 25,000/=
Haitakuwa ya siku zote itakoma mwezi wa tisa Tarehe tatu (30.09.2024)
Na mara baada ya hapo vipimo hivi vitatolewa kwa gharama ya Tsh 50,000/=
Hivyo nakusihi kuwahi offer hii kabula ya muda wa offer kupita.
N:B
- Kumbuka kuonana na Daktari ni bure kabisa, fika ofisini ketu tutatue changamoto yako
- Siyo tu huduma ya vipimo vya mwili tunayoitoa bali pia tunatoa, matibabu ya changamoto zingine za kiafya (Wasliana kwa utatuzi wa changamoto yako ya kiafya inayokusumbua)
Ofisi zetu zilipo
Ofisi zetu kuu (Head office) zinapatika Majumba sita, Barabara ya Nyerere jirani na uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.
Lakini tunayo matawi kila mkoa nchini kote Tanzania bara na visiwani,
Ukiwa nje ya Dar es salaamu na unataka kupata huduma hii ya vipimo basi usiite kuwasiliana na sisi kwa namba 0746850187 tutakuelekeza ofisi zetu zilipo ili ukapate huduma za vipimo.
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.