Bila ujuzi huu ni vigumu sana kufanikiwa kwenye Network Marketing

Au utataumia Nguvu nyingi na muda mrefu sana kufanikiwa kwenye hii biashara

Hesabu kuwa ni bahati kubwa sana, kwa kufika katika ukurasa huu kwani tunaenda kushare maarifa ambayo yatakusaidia kwa sehemu kubwa kufanikiwa kwenye biashara ya network marketing na Biashara nyingine unazo zifanya endapo tu utajifunza na kufanyia kazi kile tutakacho jifunza

Angalia Hii video-Kabula ya kuendelea

Kama mfanyabiashara, ni ndoto ya kila mmoja kuona bidhaa au huduma zake zikinunuliwa mara kwa mara.

Lakini, si mara zote mambo huenda hivyo. Mara nyingi unakutana na watu wanaoulizia bei tu au kuuliza juu ya huduma zako, lakini mwishowe hawalipii chochote. Kama wewe ni mmoja wa wafanyabiashara hao, basi uko mahali sahihi.

Tunafahamu changamoto kubwa kwa wajasiriamali wengi, hasa katika biashara ya Network Marketing, ni jinsi ya kupata wateja wapya na downliners kila mwezi.

Tunakuletea mafunzo maalum yatakayokusaidia sio tu kuongeza downliner, bali pia kuuza bidhaa  kwa kasi zaidi kwa kutumia mbinu za kisasa za kidijitali.

Hapa ndipo utaweza kujifunza mbinu zitakazokuwezesha kufikia malengo yako ya kipato na mafanikio ya kudumu.

Ikiwa haufahau chocho juu ya biashara ya Network Marketing au Unataka kufahamu zaidi juu ya Network Marketing Basi Bofya hapa chini kitufe kilicho andikwa Network Markeing

Mambo tutakayo jifunza

1. Tutajifunza mbinu zitakazokusaidia Kusajili Downliners 20+ Kila Mwezi

Katika biashara ya Network Marketing, kuwa na downliners wengi ni msingi wa mafanikio.

Katika mafunzo haya, utapata ujuzi wa jinsi ya kusajili downliners wasiopungua 20 kila mwezi.

Utajifunza mbinu za jinsi ya kuunda mtandao wako wa wateja kwa ufanisi zaidi, na jinsi ya kuvutia watu wanaotaka kujiunga na timu yako.

02. Tutajifunza mbinu saba za kusponsor matangazo mtandaoni, zitakazo kufanya upate matokeo makubwa

Utafahamu jinsi ya kurusha matangazo ya kulipia yanayoleta matokeo bora.

Mafunzo haya yatakufundisha jinsi ya kuandaa na kusimamia matangazo kwenye mitandao kama Instagram, Facebook, Google, na YouTube.

Utajifunza jinsi ya kulenga wateja wako ipasavyo, kupunguza gharama za matangazo, na kuongeza ubora wa matokeo ya mauzo yako.

03. Tutajifunza Jinsi ya kuandaa Matangazo ya Video na Sauti yenye kuvutia kwa ajili ya Biashara Yako

Matangazo ya video na sauti yana ushawishi mkubwa sana katika soko la leo.

Utapata mafunzo ya jinsi ya kuandaa matangazo yenye mvuto wa kipekee, ambayo yatawasilisha ujumbe wako kwa ufanisi zaidi. Hakuna haja ya kuwa na ujuzi wa kitaalamu; tutakufundisha jinsi ya kuunda matangazo haya kwa hatua rahisi na zenye matokeo.

04. Tutajifunza Jinsi ya Kutumia ChatGPT Kuandaa Post na Sales Latter Zenye ushawishi kwa mteja

ChatGPT ni chombo chenye nguvu ambacho kinaweza kukusaidia kuandaa maandiko yenye ushawishi mkubwa.

Katika mafunzo haya, utajifunza jinsi ya kutumia ChatGPT kuandaa post, caption za kuvutia, na sales pages ambazo zinamsukuma msomaji kufanya maamuzi ya kununua.

Uwezo wa kuwasilisha ujumbe wako kwa njia sahihi ni ufunguo wa mafanikio katika biashara yoyote.

05. Kujifunza Kudesign Website au Blog Rahisi Hata Bila Kujua Coding

Hata kama huna ujuzi wa kuandika code,

unaweza sasa kujifunza jinsi ya kuandaa na kudesign website au blog yako mwenyewe.

Utapata mafunzo ya hatua kwa hatua yatakayokusaidia kuunda tovuti nzuri na inayovutia kwa ajili ya biashara yako, ambayo itakusaidia kupata wateja wapya na kujenga uwepo wa mtandaoni wa kuaminika.

06. Tutajifunza mbinu zitakazo kufanya upate Kipato cha Tsh 1,000,000+ Kila Mwezi kwenye biashara ya Network Marketing

Mafanikio katika biashara ya Network Marketing yanaweza kuleta mapato makubwa.

Utajifunza jinsi ya kujiwekea mikakati itakayokusaidia kupata kipato kisichopungua Tsh 1,000,000/= kila mwezi.

Utafundishwa jinsi ya kujenga na kudumisha mtandao wa wateja wako, kuhakikisha unapata kipato cha kudumu bila kutegemea bahati.

Kwa Nini Unahitaji Mafunzo Haya?

  • Kuongeza Ufanisi: Utajifunza mbinu bora zaidi za kuendesha biashara yako kwa ufanisi zaidi.
  • Kujiongezea Kipato: Mafunzo haya yameundwa ili kukusaidia kupata kipato kinachozidi Tsh 1,000,000/= kila mwezi.
  • Kujua Teknolojia Mpya: Utapata ujuzi wa kisasa wa kidijitali ambao utakupa faida kubwa kwenye biashara yako ya mtandaoni.
  • Kupata Wateja Wengi: Utaelewa jinsi ya kuvutia na kushawishi wateja wapya kwa urahisi na haraka.

Jinsi Mafunzo Yatavyotolewa na Namna ya Kuweka Malipo

Mafunzo haya yatatolewa online, ambapo utapata kuongezwa kwenye group la Telegram. Video zote za mafunzo zitapatikana kwenye group hilo. Hivyo, utahitaji kuwa na app ya Telegram kwenye simu yako au kompyuta ili kuweza kujifunza kwa urahisi.

Gharama za Mafunzo:

Ili kushiriki kwenye mafunzo haya, utatakiwa kulipa kiasi cha Tsh 25,000/= tu. Malipo yafanyike kupitia Tigo Pesa kwa namba 0716618918, jina ni Joctan Motoka.

Namna ya Kuthibitisha Malipo

Baada ya kufanya malipo, tafadhali tutumie screenshot ya muamala wako pamoja na namba yako ya simu kwa WhatsApp. Tutakuongeza mara moja kwenye group la mafunzo.

Kwa Wakazi wa Dar es Salaam

Kwa wale wanaoishi Dar es Salaam, tutakuwa na live class kila Jumapili kuanzia saa tano asubuhi katika ofisi zetu zilizopo Majumba Sita, karibu na Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere. Hii ni nafasi nzuri kwa wale watakaoweza kufika kwa mafunzo ya ana kwa ana.

Pia, utaunganishwa kwenye group letu la WhatsApp, ambapo utapata nafasi ya kuuliza maswali na kushirikiana na washiriki wenzako wakati wa mafunzo.

Fanya malipo yako sasa na ujiunge nasi kwa safari ya mafanikio!

Jisajili sasa Kupata mafunzo

Hii fomu ni kwa ajili pia ya wanotaka kupata taarifa mbalimbali juu ya mafunzo yetu, hakikisha namba utakayo ijaza ni namba unayotumia whatsApp

    Scroll to Top