Njia bora ya kutibu tezi dume kwa kutumia virutubisho lishe,

Usipitwe na hii offer, hii ya matibabu ya tezi dume itakuwepo kwa siku tano tu…….

Mpedwa msomaji…!

    • Umekuwa ukipata maumivu wakati wa kukojoa,
    • Umechoshwa na haja ndogo za mara kwa mara usiku (nocturia), au
    • Maumivu makali wakati wa kuanza kukojoa (Urination initiation)
    • Umekuwa na Hofu ya hatari ya kupata saratani ya tezi dume
    • Unahofia kufanyiwa upasuaji wa tezi dume
    • Umechoshwa na Matumizi ya dawa za hospital za kutibu tezi dume bila mafanikio
    • Watu wako wa karibu wameanza kuchoka kukuuguza kila siku na unatamani kupona usiendelee kuwa kikwazo kwao.


Kama ndiyo na unataka Tiba ya Tezi dume, Basi Bofya hapa

Basi huu ujumbe nimeandika kwa ajili yako unapaswa kusoma mwanzo hadi mwisho

Kwani unaenda “kugundua Njia Rahisi ya Kutibu Ugonjwa wa Tezi Dume: Dawa Yetu Imethibitishwa Kuletea Tiba na Afya Bora kwa wagonjwa wengi wa tezi dume”

Kwa jina naitwa Motex najua ni kwa jinsi gani ugonjwa wa tezi dume umekuwa ukikutesa sana, na kukufanya usumbuke kutafuta tiba kwa muda mrefu sana.

Kwani nimewahi kushuhudia Jirani yetu Mzee ibrahimu kwa jinsi alivyo kuwa akiteseka na ugojwa wa tezi dume kwa muda mrefu sana.

Lakini ukweli ni kwamba mzee ibrahimu alikuwa hajakutana na tiba sahii ya ugonjwa wake lakini siku alipokutana nayo ilimchukuwa tu muda mfupi kuona mabadiliko makubwa sana.


Bofya hapa kupata Tiba ya Tezi dume

Ukweli wa Jinsi Virutubisho Lishe Vilivyomsaidia Mzee Ibrahim Kuepuka Upasuaji wa Tezi Dume: Jifunze Jinsi ya kutumia virutubisho lishe kutatua changamoto za tezi dume!

Nitakusimulia kidogo kuhusu mzee ibrahimu na ugonjwa wa tezi dume

Mzee Ibrahim alikabiliwa na uvimbe wa tezi dume kwa miaka mitano,

Ambapo kwa miaka minne kati hiyo alitumia dawa za hospitali kwa maelekezo ya daktari.

Alikuwa ameandikiwa tarehe ya upasuaji, lakini hali hiyo ilimfanya kuwa na hofu kubwa sana.

Alikuwa na wasiwasi kwamba upasuaji unaweza kuwa na madhara makubwa au kutosababisha nafuu aliyoitarajia.

Hali hii ilimfanya kuwa na huzuni na kutamani kuepuka upasuaji kwa gharama yoyote.

Katika hali hii ya hofu, Mzee Ibrahim alisikia habari kuhusu virutubisho lishe vilivyokuwa vikitumika kwa watu wenye matatizo kama yake.

Akiwa na matumaini ya mwisho, alijaribu virutubisho hivi kama njia mbadala kabla ya kufanyiwa upasuaji.

Kwa bahati nzuri, baada ya kutumia virutubisho lishe kwa mwezi mmoja na nusu, aliona mabadiliko makubwa sana.

Maumivu yalipungua, usingizi wake uliboreka, na uvimbe wa tezi dume ulikuwa umepungua kwa kiasi kikubwa.

Hali hii ilimsaidia kuboresha maisha yake na kuepuka upasuaji ambao alikuwa amesubiri kwa muda mrefu na aliokuwa na hofu kubwa.

Sasa Mzee Ibrahim anaendelea kutumia virutubisho lishe, akifarijika kwa afya yake mpya. Ikiwa unakumbana na matatizo ya tezi dume, virutubisho lishe hivi vinaweza kuwa suluhisho bora kwako. Chukua hatua leo na uone mabadiliko katika afya yako kama alivyofanya Mzee Ibrahim.


Bofya hapa kupata Tiba ya Tezi dume

Nitakwambia kidogo juu ya tezi dume

Tezi dume-ni sehemu ndogo ya mwili inayopatikana chini ya kibofu cha mkojo na mbele ya mkundu

Kuna aina kadhaa za magonjwa ya tezi dume hapoa chini nitakwambia aina tatu ambazo zimezoeleka kwa sehemu kubwa

01.Hyperplasia ya Tezi Dume (BPH)

Hali ambapo tezi dume inavyoendelea kuwa kubwa, na hivyo inaweza kuzuia mtiririko wa mkojo.

Kwa kawaida zeti dume uwa ni ndogo kwa umbo kiasi cha kulinganishwa na korosho natumaini ukubwa wa korosho siyo kitu kigeni kwako.

Lakini mtu anapoendelea kukua au umri Kwenda ndivyo na tezi ukua pia.

Hii ndiyo maana uwakumba sana wazee wa miaka amusini na kuendelea..

02.Kansa ya Tezi Dume

Hali ambapo kuna ukuaji wa seli za kansa ndani ya tezi dume.

03.Prostatitis

Uvimbe au kuvimba kwa tezi dume, ambao unaweza kusababishwa na mashambulizi ya bakteria katika mwili.


Bofya hapa kupata Tiba ya Tezi dume

Vitu gani umuweka mtu kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa tezi dume (Risk Factors)? Hapa kuna baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia mtu kuwa na tezi dume.

01.Umri

Hatari ya kupata matatizo ya tezi dume inazidi kuongezeka kadri umri unavyoendelea, hasa kwa wanaume zaidi ya miaka 50.

02.Historia ya Familia

Ikiwa kuna watu wa familia yako walioathirika na ugonjwa wa tezi dume, hatari ya wewe pia kupata ugonjwa huo inaweza kuwa kubwa.

03.Mabadiliko ya Homoni

Mabadiliko katika viwango vya homoni, hasa testosterone, yanaweza kuchangia katika maendeleo ya matatizo ya tezi dume.

04.Lishe

Mtu anapokosa virutubisho muhimu vinavyohitajika kwa afya ya tezi dume anakuwa kwenye hatari ya kupatwa na ugonjwa wa tezi dume.

05.Uzito kupita kiasi

Unene kupita kiasi unaweza kuongeza hatari ya kupata matatizo ya tezi dume.

06.Maisha ya kukaa kwa muda mrefu bila kufanya mazoezi

Yanaweza kuathiri afya ya tezi dume.

Dalili gani umpata mgonjwa wa tezi dume

    1. Mkojo wa mara kwa mara,
    2. Maumivu wakati wa kukojoa, au
    3. Shida katika kuanza au kumaliza kukojoa. na zingine nyingi

Lakini katika hii Makala tutajikita sana kuzungumzia hyperplasia ya tezi dume. Au kukua kuliko pitiliza kwa tezi dume.

Nini husababisha hyperplasia ya tezi dume au Kuvimba kwa tezi dume (BPH)?

Watoa huduma za afya na watafiti bigwa wa matibabu ya tezi hawajui hasa ni nini kinachosababisha BPH.

Ila kuna Nadharia moja ni kwamba, inayo aminiwa katika tafiti za kisayannsi kusababisha BPH

Nadharia hiyo ni kwamba, unapokua umri (Umri kuongezeka), kiwango cha homoni ya testosterone mwilini mwako (ambayo ni homone ya kiume) inapopungua yaani testosterone inakuwa ya kiwango cha chini.

Wakati huo huo, viwango vya homoni ya estrogen vinabaki vilevile.

Mabadiliko haya ya homoni yanaweza kusababisha seli za tezi dume zako kuongezeka.

Sambamba na hilo Watu wazee pia au wenye umuri mkubwa wana viwango vya juu vya homoni ya dihydrotestosterone (DHT).

DHT – Ni aina yenye nguvu zaidi ya testosterone inayoongeza ukubwa wa tezi dume yako.


Bofya hapa kupata Tiba ya Tezi dume

Dalili za awali za hyperplasia ya tezi dume au uvimbe wa tezi dume (BPH) ni zipi?

Kumbuka kuwa Tezi dume yako ndiyo inazunguka mrija wa mkojo.

Pale tezi dume yako uinapo tanuka, inaweza kusababisha kuzuia mtiririko wa mkojo kutoka kwenye kibofu kupitia mrija urethra.

Nitakwambia kidogo kuhusu urethra

Mrija wa urethra ni tube muhimu katika mwili wa binadamu, na unafanya kazi kuu mbili

01. Kazi ya kwanza ni Kufikisha Mkojo

Mrija wa urethra hubeba mkojo kutoka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili wakati wa kukojoa.

Hii ndiyo kazi yake kuu kwa kawaida

02. Kazi ya pili ni Kusafirisha Mbegu

Mrija wa urethira Kwa wanaume, hubeba mbegu kutoka kwenye korodani ambako ndiko utengenezwa hadi nje ya mwili wakati wa tendo la kujamiiana.

Kwa hivyo, mrija wa urethra unahusika na michakato muhimu miwili kutoa mkojo na mbegu kutoka mwilini.

Wakati ambao prostate uwa kubwa zaidi basi ubinya huu mrija  wa urethra

Na kusababisha dalili zifutazo?
    • Kupungua kwa kasi ya mkojo wakati wa kukojoa au kutoa mkojo kidogo kidogo.
    • Shida katika kuanza kutoa mkojo.
    • Kuvuja kwa mkojo (kutoweza kujizuia).
    • Hitaji la ghafla la kutoa mkojo (haraka).
    • Mahitaji ya kuamka usiku kutoa mkojo.
    • Kushindwa kutoa mkojo wote kutoka kwenye kibofu cha mkojo.
    • Maumivu baada ya kutoa mbegu au wakati wa kutoa mkojo.
    • Mabadiliko ya rangi ya mkojo wako.
    • Harufu mbaya ya mkojo wako.


Bofya hapa kupata Tiba ya Tezi dume

Ninachotokea ikiwa utashidwa kupata matibabu ya tezi kwa wakati?

Bila matibabu, BPH inaweza kusababisha kuongezeka kwa kuzuia mrija wa mkojo, na dalili zako zinaweza kuwa mbaya zaidi.

Inaweza pia kusababisha

01.Maambukizi kwenye njia ya mkojo (UTI)

Hii ndiyo sababu wagonjwa wengi wa tezi wanakubwa na UTI za mara kwa mara.

02. Mawe kwenye kibofu cha mkojo (kidney stone)

wagonjwa wa BPH wapo kwenye hatari kubwa sana ya kuwa na mawe kwenye kibofu cha mkojo.

Kwa sababu wakati mkojo unatakiwa kutoka wote, kwenye kibofu unakuwa unalazimishwa kubaki kwenye kibofu,

Hivyo chimvi chumvi (mineral salts) zilizopo kwa mkojo zinaunda mawe kidokidogo baadae mtu anagundulika kuwa na mawe kwenye kibofu cha mkojo (kidney stone)

03.Damu kwenye mkojo wako (hematuria).

Usipochukua hatua za haraka kutibu uvimbe wa tezi dume BPH basi Unaweza fikia hatua za kuanza kutokwa na damu.

04.Uharibifu wa figo (renal damage)

kutokana na mkojo kurudi kutoka kwenye kibofu cha mkojo hadi kwenye figo.

Kurudi kwa mkojo kunaongeza shinikizo kwenye figo zako.

Kitu ambacho siyo kizuri.


Bofya hapa kupata Tiba ya Tezi dume

Je, kweli kwamba kuwa na hyperplasia ya tezi dume kunaongeza hatari ya kupata kansa ya tezi dume?

Utafiti unaonyesha kwamba kuwa na BPH hakupandishi hatari ya kupata kansa ya tezi dume.

Hata hivyo hyperplasia ya tezi dume (BPH) na kansa ya tezi dume zina dalili zinazofanana.

Ikiwa una BPH, unaweza kuwa na kansa ya tezi dume isiyoonekana kwa wakati huo huo.

Hivyo Ili kusaidia kugundua kansa ya tezi dume mapema, kila mtu, mwenye umri wa miaka 55 na 69 mwenye tezi dume anapaswa kufanya upimaji wa kansa au saratani ya tezi dume kila mwaka

Tafiti zinaonyesha pia kwamba watu weusi na watu ambao historia za familia zao kuwawahi kuwepo na wagonjwa wa tezi dume basi wao pia wapo kwenye hatari ya kupata hyperplasia ya tezi dume au kansa ya tezi dume

Dawa gani utumika kutibu tezi na nikwa jinsi gani ufanya kazi?

Dawa zinazotumika mara nyingi uenda kulegeza misuli ya tezi dume yako,

Na hivyo kupunguza shinikizo kwenye mrija wa mkojo.

Baadhi ya dawa ambazo utumika ni hizi zifutazo

      • Tamsulosin (Flomax®).
      • Terazosin (Hytrin®).
      • Doxazosin (Cardura®).
      • Alfuzosin (Uroxatral®).
      • Silodosin (Rapaflo®).

Dawa nyingine hupunguza uzalishaji wa homoni ya Dihydrotestosterone hormone (DHT), ambayo inaweza kupunguza ukuaji wa tezi dume yako.

Kama nilivyo kwambia uko awali Dihydrotestosterone hormone DHT ni aina yenye nguvu zaidi ya testosterone inayoongeza ukubwa wa tezi dume yako.

Hivyo tukipunguza uzalishaji wake tutakuwa tumesaidia Kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto. Baadhi ya dawa hizi ni?

      • Finasteride (Proscar®).
      • Dutasteride (Avodart®).


Bofya hapa kupata Tiba mubadala, ya Tezi dume

Kwa nini ni mhimu kutibu tezi dume kwa kutumia virutubisho lishe na siyo dawa za kisasa

Mara nyingi madakitari utumia dawa zaidi ya moja dawa za kulegeza misuri ya tezi dume na dawa za kupunguza uzalishaji wa homoni ya Dihydro testosterone hormone kulingana na hali ya mgonjwa aliyo nayo.

Lakini kuona mabadiliko kwenye dalili uchukua wiki mbili hadi miezi miwili

Lakini haya yote hayafanyi kupona tezi mara nyingi mtu anaposimama matibabu dalili ujirudia

Kwa hiyo hali ya Matumizi ya dawa za umtengenezea mtumiaji usugu wa dawa, na mwishowe ushidwa kufanya kazi na kuwa kwenye hatari ya upasuaji na hata upasuaji ukifanyika itajirudia tena.

Na hapo ndipo tunaona umuhimu wa Matumizi ya virutubisho lishe kwenye kupunguza ukubwa tezi dune, kulegeza misuri ya tezi dume na kupunguza kiwango wa dihydro testosterone hormone DHT ambayo inasababisha kuvimba kwa tezi.

Sambamba na hayo yote

Virutubisho lishe vyetu vimethibitishwa na mamulaka ya uthibiti wa dawa hapa nchini kuwa salama kwa binadamu na siyo hapa tu nchini Tanzania na nchi nyingine pia duniani ikiwemo China.

Dawa zetu hazina athari yoyote kiafya (side effect)

Bei zetu ni nafuu ukilinganisha na bei za virutubisho lishe toka kapumi zingine.


Bofya hapa kupata Tiba ya Tezi dume

Kwa nini nichaguwe kutumia virutubisho lishe vyenu kutibu tezi dume

Virutubisho lishe vyetu vinakupa matokeo ya haraka ndani ya wiki mbili unaanza kuona mabadiliko ya dalili za mfumo wa mkojo.

Virubisho vyetu vinaenda kupunguza uzalishaji wa DHT dihydrotestosterone homoni kwa asilimia 80% ambayo ndiyo uchangia kwa sehemu kubwa kuvimba kwa tezi dume.

Virutubisho vyetu vinaenda kuregeza misuli ya tezi dume na kufanya uanze kukojoa vizuri pasipo kuwa na maumivu, kukojoa bila kubakiza mkojo maana shinikizo kwenye njia ya mkojo imepungua.

kusaidia kibofu cha mkojo kujisafisha na kutoa mtiririko wa mkojo wenye nguvu zaidi.


Bofya hapa kupata Tiba ya Tezi dume

Ni vitu gani vinapatikana ndani ya Virutubisho lishe vyenu (Food supplements) zinazo Saidia kutibu tezi dume

Beta-sitosterol

Hii ni moja kirutubisho kinachopatikana kwenye mimea mingi. Na moja ya kirutubisho kilicho tumika kutengeza hii dawa.

Pia beta-sitosterol uwenda kuregeza misuli ya tezi dume na kufanya uanze kukojoa vizuri pasipo kuwa na maumivu, kukojoa bila kubakiza mkojo maana upunguza shinikizo kwenye njia ya mkojo.

Beta-sitosterol haiathiri ukubwa wa tezi dume, lakini inaweza kusaidia kibofu cha mkojo kujisafisha na kutoa mtiririko wa mkojo wenye nguvu zaidi.

Pygeum

Hii ni aina ya kirutubisho kinachopatikana katika magome ya mti wa aina ya plum ambayo kwa sehemu kubwa inapatikana.

Pygeum upunguza uzalishaji wa DHT dihydrotestosterone homoni kwa asilimia 80% ambayo ndiyo uchangia kwa sehemu kubwa kuvimba kwa tezi dume.

Hiki kirutubisho kusaidia kibofu cha mkojo kujisafisha na kutoa mtiririko wa mkojo wenye nguvu zaidi.

Saw palmetto

Huu ni mti mfupi unaokua Amerika Kaskazini. tafiti kubwa Hiki kirutubisho kusaidia kibofu cha mkojo kujisafisha na kutoa mtiririko wa mkojo wenye nguvu zaidi.

Mbegu za maboga (Pumpkin seeds)

mafuta ya mbegu za maboga zinaonekana kusaidia katika dalili za BPH na zinaweza kupunguza ukubwa wa tezi dume. Hii uwa na manufaa zaidi ikitumiwa pamoja na virutubisho vingine kama vile saw palmetto.
Bofya hapa kupata Tiba ya Tezi dume

Bei za dawa zetu

Tunatambua ya kwamba dawa za virutubisho lishe, zimekuwa na gaharama ya juu sana

Ambayo imekuwa wakati furani ni changamoto kwa wateja wengu kumudu.

Bei ninayo ifahamu ambayo kampuni zingine zimekuwa zikiuza virutubisho lishe vya kupunguza uvimbe wa tezi dume ni kati ya Tsh 450,000 hadi Tsh 500,000/=

Na hili siyo jambo la kushangaza sana kwani teknolojia ambayo imekuwa ikutumika kuandaa dawa hizi ya hali ya juu sana

Hivyo wanatumia mamilioni ya pesa kwenye uzalishaji na usafirishaj wa dawa hizi toka nchini china Kwenda sehemu mbalimbali duniani kwani viwanda vya uzalishaji vipo nchini china tu.

Hivyo nikikwambi dose ya dawa ya miezi nitatu utaipata kwa Tsh 300,000 tu itakuwa nimekupunguzia sana.

Lakini hautaamini hii dawa utapa dose ya miezi mitatu kwa gaharama ya chini kabisa yaani nusu ya hiyo laki tatu

Hii namaanisha nitakuuzia hii dawa kwa Tsh 130,000/= tu


Bofya hapa kulipia Tiba ya Tezi dume

 

N:B

    1. Kumbuka kuonana na Daktari ni bure kabisa, fika ofisini kwetu tutatue changamoto yako
    2. Siyo changamoto tu ya TEZI DUME bali pia tunatoa, matibabu ya changamoto zingine za kiafya (Wasliana kwa utatuzi wa changamoto yako ya kiafya inayokusumbua)

Jazo fomu hii ili kupagwa kwenye ratiba ya kuonana na daktri

Mwa changamoto yoyote bofya hapa chini

Mawasiliano ya kawaida

Chat na sisi WhatsApp

Fika ofisi zetu zilipo

Ofisi zetu kuu (Head office) zinapatika Majumba sita, Barabara ya Nyerere jirani na uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.

Lakini tunayo matawi kila mkoa nchini kote Tanzania bara na visiwani,

Ukiwa nje ya Dar es salaamu na unataka kupata huduma hii ya vipimo basi usiite kuwasiliana na sisi kwa namba 0746850187 tutakuelekeza ofisi zetu zilipo ili ukapate huduma za vipimo.

 

Scroll to Top