Tiba ya uhakika ya ugonjwa wa kisukari

Usipitwe na hii offer, ya matibabu ya ugonjwa wa kisukari

Mpedwa msomaji……?

Unakoswa usingizi wakati wa usiku, kwa sababu ya safari nyingi za Kwenda chooni kukojoa wakati wa usiku kama matokeo ya ugonjwa wa kisukari

Je kiwango chako cha sukari kwenye damu kinabadilika ghafla ghafla, na dawa au mtindo wa Maisha umeshidwa kabisa kuthibiti badiliko hilo la mara kwa mara.

Umekuwa Vidonda visivyo pona, vyenye harufu mbaya, kiasi cha kuanza kunyanyapaliwa na watu wako wa karibu au wahudumu wa afya?

Je viungo vya mwili wako vinakufa ganzi hasa miguu, mikono kwa wasabu ya kiwango kikubwa cha sukari mwilini

Umekuwa na msongo wa Mawazo kwa sababu ya gharama kubwa za matibabu ya kisukari.

Umekuwa na hofu ya kupata madhara ya ugonjwa wa kisukari kama vile upofu wa macho, kukatwa vidole kwa sababu ya vidonda visivyo pona, magonjwa ya moyo

Uzito wa mwili wako unazidi kuongezeka na kukunyima raha kama matokeo ya wingi wa sukari mwilini

Umekuwa ukikoroma wakati wa usiku na kupata shida ya kumpumua kwa sababu ya uzitoo na unenne wa mwili uliyo pitiliza ambao ni matokeo ya sukari nyingi mwilini?

 

Najua kifo ni Mungu uamua, lakini tunapokuwa wagonjwa hofu juu ya kupoteza Maisha uwa kubwa sana kwa sababu ya afya zetu kuzohofika, uwenda na wewe umeanza kuwa na hofu juu kifo kwa sababu ya ugonjwa wa kisukari ambao umekutesa kwa muda mrefu bila suluhisho la kudumu.

Basi utatuzi wa changamoto yako umepatikana ujumbe huu nimeundika kwa ajili yako

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

Kwani unaenda kugundua suluhisho la kudumu la ugonjwa wa kisukari, lililo Saidia wagonjwa zaidi ya 500 kupona kabisa kisukari na kuendelea na Maisha yao kama mwanzo.

Ninaitwa Joctan  najua ni kwa jinsi gani ugonjwa wa kisukari umezidi kukutesa kwa muda mrefu sana. Kwani nimewahi kumuona mjomba angu Mr. Linus Jinsi alivyoteswa na ugonjwawa kisukari kwa muda mrefu sana (Dakika moja ijayo nitakusimulia kisa chake hapa chini)

Lakini ukweli ni kwamba hakuna tatizo lisilo kuwa na suluhisho, uwenda safari ya kulipata suluhisho ndiyo ikawa ndefu.

Hata ugonjwa wa kisukari unasuluhisho lake.

Tafadhali sikiliza ushuhuda huu Mr.Linus, akielezea kwa jinsi alivyoteseka na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu, lakini alipopata matibabu sahii toka kwetu alipona kisukari na sasa anaendelea na Maisha yake kama kawaida.

Tafadhari bofya kusikiliza ushuhuda huu!

Tiba ya uhakika ya ugonjwa wa kisukari Ushuuda toka kwa Mr Linus drmotex

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

Hii haitoshi nitakwambia pia kisa cha bibi aisha jinsi alivyopona ugonjwa wa kisukari kwa kutuma dawa zetu

 

Safari ya Matumaini, Mama Aisha Akitoka Katika Giza la Ugonjwa wa Kisukari uliyo mtesa kwa miaka saba, Hadi Mwanga wa Afya Bora Kupitia Virutubisho Lishe

Pale Ilemela, mkoani Mwanza, kuna mama aitwaye Aisha, mwenye umri wa miaka 50.

Aisha alikuwa rafiki wa karibu wa bibi yangu mzaa mama, na urafiki wao ulikuwa wa muda mrefu. Kutokana na ukaribu huo, nilimfahamu Aisha vizuri sana tangu nikiwa mdogo.

 

Aisha alikuwa na familia yenye furaha na matumaini, lakini maisha yao yalibadilika ghafla alipoanza kuugua ugonjwa wa kisukari miaka saba iliyopita.

Katika kipindi hiki cha miaka saba, Aisha alikumbana na changamoto nyingi.

Kuwa na kiu isichokoma, safari za Kwenda kukojoa mara kwa mara, njaa kali, maumivu ya miguu.

Kila alipoenda hospitalini, madaktari walimwambia kuwa hali yake ilihitaji usimamizi mzuri wa chakula na dawa, lakini licha ya kufuata maelekezo yao kwa umakini, hali yake haikuonekana kuimarika.

 

Tulipokuwa tukimtembelea nyumbani kwake ilemela niliona jinsi ugonjwa huu ulivyomtesa.

Alikuwa na huzuni katika macho yake na mara nyingi alionekana kuchoka na kuvunjika moyo.

Tulikuwa tukumfariji na kumpa matumaini, lakini hali ya Aisha ilionekana kuwa mbaya zaidi kila siku.

Niliwashauri tujaribu njia Mubadala ya kumsaidia kuliko kuendelea kutumia dawa za hospital ambazo hazikuleta badiliko la kuridhisha kwa bibi Aisha

 

Hivyo niliwambia wanafamilia kuhusu virutubisho lishe ambavyo vilikuwa vikiuzwa kwenye moja ya kampuni amboyo Nilikuwa nikifanya kazi.

Virutubisho lishe ambavyo vimetengenezwa mahsusi kusaidia watu wenye kisukari.

Niliwaeleza wanafamilia jinsi virutubisho hivyo vilivyokuwa na uwezo wa kuimarisha afya ya mgonjwa wa kisukari na kusaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu.

 

Wanafamilia  waliguswa sana na maelezo yangu na wakaamua kujaribu virutubisho hivyo.

Baada ya kutumia virutubisho hivi kwa muda wa mwezi mmoja na nusu, Aisha alianza kuona mabadiliko ya kushangaza.

Kiwango chake cha sukari kwenye damu kilianza kuimarika, alihisi nguvu mpya, na maumivu yalipungua sana.

Kwa mara ya kwanza katika miezi mingi, aliweza kuchangamka na kushiriki katika shughuli za familia bila kuwa na maumivu au uchovu.

 

Sasa, Aisha, mwenye umri wa miaka 52, anaishi maisha yenye furaha zaidi na afya bora, akishukuru kwa kuweza kupata suluhisho ambalo lilimsaidia kuondokana na ugonjwa wa kisukari.

Hadithi yake inathibitisha jinsi virutubisho lishe vinaweza kuwa msaada mkubwa, katika kudhibiti ugonjwa wa kisukari na kuboresha hali ya maisha.

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

Najua pengine umewahi kukutana na ujumbe kama huu, na hii haitoshi umewahi kutumia virutubisho lishe ambavyo uliaminishwa vinasaidia kuponyesha ugonjwa wa kisukari lakini ukatumia bila kupata matokeo yoyote. Na ukahisi kudanganywa najua haya yote yapo kwenye kila kona ya Maisha hapa duniani.

Lakini niacho kiwasilisha kwako ni virutubisho lishe vilivyo thibitishwa na mamulaka za afya nchini china kuwa na uwezo wa kuboresha afya ya mgonjwa wa kisukari kwa asilimia 85%

Hii haitoshi hivi virutubisho lishe kwa takwimu za mauzo vimeuzwa duniani katika nchi 59 na wagonjwa wapatao 10700 wa kisukari wamevutumia na kati ya hao 7030 afya zao ziliimarika hii ni sawa 65.7%

Ila wewe uwenda umekata tamaa juu ya virutubisho lishe kwenye kutatua changamoto yako ya kisukari nikutie moyo kuchukua hatua nyingine tena ambayo naamini mara baada ya kutumia utatutafuta kutushukuru.

 

Ikiwa unasumbuliwa na kisukari au unamjua mtu unayeishi na kisukari, shuhuda hizi zinaweza kuwa mwangaza wa matumaini kwake.

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

 

Takwimu zinasemaje juu ya ugonjwa wa kisukari

Kulingana na takwimu za shirika la afya duniani (WHO)

Takriban watu milioni 422 duniani kote wana kisukari,

Wengi wao wakiwa wanaishi katika nchi zenye kipato cha chini na cha kati.

Na vifo milioni 1.5 (1,500,000) vinahusishwa moja kwa moja na kisukari kila mwaka.

Idadi ya wagonjwa na uenezaji wa kisukari umeendelea kuongezeka kwa kasi katika miongo michache iliyopita.

 

Nitakwambia kwa undani kidogo, juu ya ugonjwa wa kisukari.

Ugonjwa wa Kisukari ni nini?
Kisukari (Diabetes) ni hali inayotokea wakati mwili wako hauwezi kuzalisha au kutumia insulini ipasavyo.

Insulini ni homoni inayosaidia mwili kutumia sukari (glucose) kutoka kwenye chakula kama chanzo cha nishati.

Kuna aina kuu mbili za kisukari
  1. Kisukari aina ya 1 (Type 1 diabetes)

Hii hutokea wakati kongosho linashindwa kuzalisha insulini kabisa. Mara nyingi huanza wakati wa utoto au ujana.

  1. Kisukari aina ya 2 (Type 2 diabetes)

Hii hutokea wakati mwili hawezi kutumia insulini ipasavyo (insulin resistance) au kongosho linazalisha insulini kidogo.

Hii ni aina ya kawaida na mara nyingi huhusishwa na uzito kupita kiasi na mtindo wa maisha usiofaa.

 

 

Vitu gani usababisha kisukari

Kuna mambo mbalimbali yanayo sababisha kisukari ambayo yamegawanywa katika makundi mawili kulingana na aina mbili za kisukari maan ambo yanayo sababisha kisukari ain aya kwanza siyo mambo yanayo sababisha kisukari aina ya pili baadhi ya hayo mambo ni haya yafuatayo: –

Kisukari aina ya kwanza

Mambo yanayo sababisha kisukari aina ya kwanza.

Mambo ya kijenetiki  

kunauhusiano mkubwa kati ya urithi na kupata kisukari aina ya kwanza. Ikiwa wazazi wako au ndugu wako wa damu wanakisukari kuna hatari ya wewe pia kupata kisukari au mtoto wako kupata kisukari.

Mwitikio wa kinga ya mwili (Autoimmune response)

Ambapo mwili uanza kushambulia seli za kongosho zinazo zalisha homoni ya insulin, japo ambalo litapunguza kiwango cha insulin na kusababisha mulundikano wa sukari nyingi kwenye damu.

Kisukari aina ya pili

Mambo yanayo sababisha kisukari aina ya pili

Unene au uzito kupita kiasi

Ambao ni matokeo ya mafuta yaliyopo kwenye tumbo, ambayo usababisha mwili kupoteza uwezo wa kutumia homoni ya insulin japo kuwa inatengenezwa vizuri tu ndani ya mwishi.

 

Mtindo mbaya wa Maisha

Kama vile kutokufanya mazoezi na ulaji wa vyakula vyenye sukari na wanga kwa kiasi kikubwa.

 

Hatari ya kupata kisukari aina ya pili inaongezeka kwa kadri mtu anavyo ongezeka umri hasa baada ya umri wa miaka 45

Mambo ya kijenetiki na urithi Kama ilivyo kwa Kisukari cha Aina ya 1, urithi unaweza kuwa na nafasi kubwa katika kuathiri hatari ya kupata Kisukari cha Aina ya 2

Msongo wa mawazo

wa mara kwa mara unaweza kuathiri viwango vya sukari kwenye damu na kusababisha hatari ya Kisukari cha Aina ya 2 kuongezeka.

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

Sababu nyingine zinazosababisha mtu kupata kisukari

Kujifungua mtoto mwenye uzito mkubwa:

Wanawake waliowahi kujifungua mtoto mwenye uzito mkubwa (zaidi ya kilogramu 4.1) au waliowahi kuwa na Kisukari cha mimba (Gestational Diabetes) wana hatari kubwa ya kupata Kisukari cha Aina ya 2

Matumizi ya baadhi ya dawa Dawa fulani

kama vile steroidi, hasa zile zinazojulikana kama glukokortikoidi (kama prednisone, dexamethasone, na hydrocortisone), zinaweza kuongeza hatari ya kupata ugonjwa wa kisukari, hasa Kisukari cha Aina ya 2, kupitia njia mbalimbali

Njia ya kwanza ni mwitikiio mdogo wa seli za ini, misuli na tishu za mafuta kwa homoni ya insulini

Steroidi zinaweza kusababisha seli kwenye ini, misuli, na tishu za mafuta kuwa na mwitikio mdogo kwa insulini.

Insulini ni homoni inayosaidia seli kunyonya sukari kutoka kwenye damu.

Wakati seli zinapokuwa sugu kwa insulini, sukari inabaki kwenye damu, hali inayosababisha viwango vya sukari kwenye damu kuongezeka.

Njia ya pili ni Kuongezeka kwa Uzalishaji wa Glukosi ndani ya Ini (Increased Gluconeogenesis)

Steroidi huchochea ini kuzalisha sukari zaidi kupitia mchakato unaoitwa gluconeogenesis.

Utajiuliza glucogenesis

Glucogenesis – Huu ni mchakato wa asili ambapo ini hubadilisha vitu visivyo vya wanga (kama vile protini na mafuta) kuwa sukari.

 

Njia ya tatu ni kuongezeka kwa Uzito wa Mwili (Weight Gain)

Steroidi mara nyingi husababisha hamu ya kula kuongezeka

Na usambazaji wa mafuta mwilini kubadilika,

Na hivyo kusababisha ongezeko la uzito, hasa katika eneo la tumbo.

Mafuta haya ya tumboni yana uhusiano mkubwa na hatari ya kuongezeka kwa usugu wa insulin (Insuline resistance).

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

Ni dalili gani umpata mgonjwa wa kisukari?

  1. Kiu isiyo ya kawaida (Excessive thirst): Unahisi kiu mara kwa mara hata baada ya kunywa maji.
  2. Kukojoa mara kwa mara (Frequent urination): Unaenda chooni mara kwa mara, hasa usiku.
  3. Kuhisi njaa kupita kiasi (Extreme hunger): Unahisi njaa hata baada ya kula chakula cha kutosha.
  4. Kupungua uzito bila sababu (Unexplained weight loss): Uzito unashuka bila sababu ya kueleweka, hata kama unakula.
  5. Kuchoka sana (Extreme fatigue): Unahisi uchovu na udhaifu mwingi bila kufanya kazi nzito.
  6. Kupoteza umakini (Blurred vision): Kuona ukungu au kushindwa kuona vizuri.
  7. Kufa ganzi au kuhisi maumivu kwenye miguu au mikono (Tingling or numbness): Hii inatokana na uharibifu wa mishipa ya fahamu, hali inayosababisha hisia za kufa ganzi au kuchoma.
  8. Vidonda vinavyochelewa kupona (Slow healing wounds): Vidonda na majeraha kwenye ngozi vinaweza kuchukua muda mrefu kupona.

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

 

Magonjwa gani yanaweza kumpata mtu kama matokeo ya kuumwa kisukari kwa muda mrefu (Complication of Diabates)

Kisukari kisichodhibitiwa kwa muda mrefu kinaweza kusababisha madhara makubwa mwilini. Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na:

  1. Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu (cardiovascular diseases): Kisukari kinaweza kuongeza hatari ya ugonjwa wa moyo, kiharusi (stroke), na shinikizo la damu.
  2. Kushindwa kwa Figo (kidney disease – nephropathy): Muda mrefu wa kuwa na sukari nyingi mwilini kunaweza kuharibu nephrons, ambazo ni sehemu muhimu za figo. Hali hii inaweza kupelekea kufeli kwa figo (renal failure).
  3. Madhara ya Macho (Retinopathy): Kisukari kinaweza kuathiri mishipa midogo ya damu kwenye retina, na hatimaye kusababisha upofu endapo haitatibiwa.
  4. Uharibifu wa Mishipa ya Fahamu (Neuropathy): Kisukari kinaweza kuathiri neva, hasa kwenye miguu na mikono, hali inayojulikana kama peripheral neuropathy. Hii inaweza kusababisha maumivu, kufa ganzi, na udhaifu wa misuli.
  5. Vidonda Ambavyo Haviwezi Kupona (Diabetic foot ulcers): Kwa sababu ya mzunguko duni wa damu na uharibifu wa neva, vidonda kwenye miguu vinaweza kuwa vigumu kupona, hali inayoweza kusababisha kukatwa kwa viungo (amputation).
  6. Magonjwa ya Mishipa ya Damu Kubwa (Peripheral artery disease): Hii inahusiana na mishipa ya damu kuziba au kuwa nyembamba, hivyo kupunguza mtiririko wa damu kwenye miguu na mikono.
  7. Magonjwa ya Ngozi na Kuweza Kupata Maambukizi kwa Urahisi: Watu wenye kisukari wana uwezekano mkubwa wa kuathiriwa na maambukizi ya bakteria na fangasi, pamoja na matatizo ya ngozi kama vile dry skin na vidonda.

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

 

 

Dawa zinazo tumika mara nyingi kutubu wagonjwa wa kisukari na jinsi zinavyofanya kazi (Common Treatments of Diabetes)

Matibabu ya kisukari mara nyingi hujumuisha mchanganyiko wa mabadiliko ya mtindo wa maisha na dawa.

Uchaguzi wa dawa hutegemea aina ya kisukari na mahitaji ya mgonjwa.

Uwenda daktari wako uwa anakupatia dawa pasipo kukwambia zinaenda kufanya kazi gani ndani ya mwili wako, lakini mimi nitakwambia A to Z

 

Kisukari aina ya kwanza

Hapa kuna dawa inayotibu kisukari aina ya kwanza na Jinsi inavyofanya kazi

Insulini ni homoni inayosaidia kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu kwa kuwezesha kuingia kwa sukari ndani ya seli.

Watu wenye kisukari cha aina ya kwanza wanakosa insulini kwa sababu seli zinazozalisha insulini kwenye kongosho zimeharibiwa, hivyo wanahitaji kuingiza insulini kwa sindano au kutumia pampu ya insulini.

Kisukari aina ya pili

Hapa kuna baadhi ya dawa zinazotumika sana kutibu kisukari aina ya pili na jinsi zinavyofanya kazi.

 

Metformin

inapunguza uzalishaji wa sukari kwenye ini na kuboresha unyeti wa mwili kwa insulini, hivyo kusaidia seli kutumia sukari kwa ufanisi zaidi.

 

Sulfonylureas (kwa mfano, Glipizide, Glyburide)

huamsha kongosho au usisimua kongosho kuzalisha insulini zaidi.

Hizi ndizo dawa zimazotumika sana kwa wagonjwa wengi wa kisukari uwenda na wewe umetumia dawa kama hizi kwa muda mrefu na kujikuta unakuwa tegemezi kwa dawa kiasi cha dawa hizi utengeneza usugu na kushidwa kukusaidia kabisa.

Nakualika kutumia virutubisho lishe kuboresha afya yako wewe, mugonjwa wa kisukari

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

 

Kwa Nini Dawa za Hospitali zimeshidwa kuleta suluhisho la kudumu la ugonjwa wa kisukari.

Hizi ndizo sababu kuu kwa nini dawa za hospital zimeshidwa kwa sehemu kubwa kuleta suluhisho la ugonjwa wa kisukari.

  1. Kisukari ni Tatizo la Kimuundo la Mwili (Metabolic disorder)

Kisukari aina ya 2 hasa hutokana na insulin resistance, ambapo seli za mwili haziitambui insulini ipasavyo.

Dawa za hospitali, kama vile metformin, zinaweza kusaidia kuboresha jinsi mwili unavyotumia insulini au kupunguza kiwango cha sukari kinachozalishwa na ini, lakini hazitibu shida ya msingi ya utumiaji wa insulini mwilini.

 

  1. Dawa zinadhibiti dalili, si chanzo.

Dawa nyingi zinazingatia kupunguza dalili kama vile sukari kwenye damu, lakini hazishughulikii kabisa sababu kuu za ugonjwa kama vile uzito kupita kiasi, lishe mbovu, na mtindo wa maisha usiofaa. Kwa hivyo, dawa mara nyingi haziwezi kuondoa tatizo la msingi.

 

  1. Usugu wa dawa

Watu wanaotumia dawa za kisukari kwa muda mrefu wanaweza kupata madhara ya pembeni, na wakati mwingine mwili unakuwa sugu (resistant) kwa baadhi ya dawa.

Hii inafanya kuwa vigumu kudhibiti ugonjwa huo kwa muda mrefu.

 

Matibabu ya kisukari yanahitaji zaidi ya dawa za hospitali peke yake. Ingawa dawa zinaweza kusaidia kudhibiti sukari kwa muda,

Virutubisho lishe na mabadiliko ya mtindo wa maisha yana uwezo mkubwa wa kuleta matokeo chanya kwa sababu yanashughulikia mizizi ya ugonjwa wa kisukari,

kama vile lishe duni, uzito, na matatizo ya mfumo wa kimetaboliki.

Mtu anapotumia virutubisho sahihi na kufuata lishe bora pamoja na mazoezi, anaweza kupunguza matumizi ya dawa au hata kuacha kabisa kutegemea dawa na kupona kabisa kisukari.

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

 

 

 

Virutubisho lishe vyenu vinafanya kazi gani ndani ya mwili wa mgonjwa wa kisukari na kuleta suruhisho la kudumu la ugonjwa wa kisukari.

  1. Kwani virutubisho lishe vyetu vinaenda kufanya kazi ya kuipatia seli za kongosho nguvu za kuzalisha insulini kwa kiwango cha juu,
  2. Vinarudisha afya ya kongosho lililo aribiwa,
  3. Vinayeyusha mafuta yaliyo gandamana ndani ya mwili ambayo yanazuia vipokezi vya insuline (insuline receptor), kupokea insuline na kuendelea kufanya kazi.
  4. Vinauwezo wa kuzuia kinga ya mwili kuaribu seli za kongoshosho kwa wagonjwa wanaopata kisukari kama matokeo ya kinga ya mwili kushambulia seli za kongosho zinazo zalisha insulin (Autoimmune diseases).

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

 

SHUHUDA ZA WATEJA

Ali Mohamed, Umri 45 – Arusha

“Nilikuwa naishi na kisukari kwa zaidi ya miaka kumi, na hali yangu ilikuwa inazidi kuwa mbaya kila siku. Nilijaribu dawa nyingi, lakini sikupata matokeo mazuri. Baada ya kuanza kutumia virutubisho lishe toka kwenu, afya yangu imeimarika sana. Sukari yangu kwenye damu imepungua hadi kiwango cha kawaida, na sasa naweza kufanya kazi zangu bila uchovu. Virutubisho hivi vimenirejeshea matumaini ya kuishi maisha marefu na yenye afya.”

 

 

Fatma Juma, Umri 58 – Dar es Salaam

“Kwa miaka mitano niliyokuwa na kisukari, nilikuwa na maumivu ya miguu na uchovu wa mara kwa mara. Nilipendekezwa kutumia virutubisho lishe kutoka kwenu na nikaona mabadiliko makubwa ndani ya miezi michache. Sukari yangu kwenye damu imeimarika, na maumivu yamepungua sana. Naweza kutembea kwa muda mrefu bila matatizo, na najihisi mwenye nguvu tena. Asanteni sana kwa bidhaa hizi!”

 

Peter Malewa, Umri 62 – Mwanza

“Kisukari kilikuwa kinanitesa kwa muda wa miaka saba, na nilikuwa na hofu kuwa sitakuwa na nguvu za kutosha kuona wajukuu wangu wakikua. Baada ya kutumia virutubisho lishe vyenu kwa muda wa miezi mitatu, afya yangu imeimarika kiasi cha kushangaza. Sukari yangu kwenye damu ipo kwenye kiwango kinachoridhisha, na sasa ninaweza kufurahia muda na familia yangu bila wasiwasi. Virutubisho vyenu vimenirudishia furaha ya kuishi.”

 

Rose Mwakyembe, Umri 54 – Mbeya

“Nilikutana na virutubisho lishe vyenu nikiwa nimeshapoteza matumaini ya kupata nafuu kutokana na kisukari. Nilikuwa na matatizo ya kudhibiti sukari kwenye damu, na hali yangu ilikuwa ikizorota. Baada ya kuanza kutumia virutubisho hivi, niliona mabadiliko makubwa. Sukari yangu imekuwa kwenye kiwango bora, na sasa ninaweza kuishi bila wasiwasi. Sikuamini kama inawezekana kurudi kwenye hali ya kawaida, lakini sasa najiona nikiwa na afya tele.”

 

John Mkoma, Umri 50 – Dodoma

“Nilikuwa na matatizo ya sukari kwa miaka mingi, na ilikuwa vigumu kwangu kudhibiti hali hiyo. Virutubisho lishe toka kwenu vimebadilisha kabisa maisha yangu. Sukari yangu kwenye damu imeshuka hadi kwenye kiwango kinachoridhisha, na ninajihisi nikiwa na nguvu na afya bora. Ninapendekeza virutubisho hivi kwa yeyote anayesumbuka na kisukari, kwa sababu vimenisaidia mimi na ninaamini vitawasaidia wengine pia.”

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

Bei za virutubisho Lishe

Natambua gharama za virutubisho lishe vinavyo boresha afya ya mugonjwa wa kisukari ni gharama sana,

Kwa gharama ninazozifahamu, ambazo baadhi ya kampuni (sitozitaja majin akwa sababu za kibiashara) zimekuwa zikiuza virutubisho lishe vya kusaidia kuponya kisukari ni kati Tsh 500,000/= hadi Tsh.600,000/=

Mimi binafusi siwezi kulaumu sana maana natambua uwekezaji waliyo ufanya

Hadi kupata bidhaa ya virutubisho lishe

Toka kwenye mimea silia, ikiwa ni pamoja na tafiti za miaka mingi juu ya mimea silia inayo Saidia kuboresha afya ya mgonjwa wa kisukari na Tekinolojia ya hali ya juu.

Hii haitoshi Viwanda vya uzalishaji vipo nchini china hivyo mara baada ya zalishaji

Wanalazimika kuvisafirisha kuviuza nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania,

Na kama tunavyo jua ukiingiza bidhaa yoyote kwenye nchi ya watu lazima utalipia kodi lakini pia utazilipa mamulaka za uthibiti wa ubora wa dawa na vifaa tiba TFDA ili kuhidhinisha dawa yako kuanza kutumiwa na watanzania.

Kwa hiyo ni kweli kwamba gharama kubwa inatumika kwenye uzalishaji wa hivi virutubisho lishe.

 

Hivyo basi kama virutubisho lishe viavyo boresha afya ya mgonjwa wa kisukari vinauzwa kati ya laki tano (Tsh.500,000/=) hadi sita (Tsh 600,000/=) kwenye baadhi ya kampuni za dawa ninazo zifaahamu.

Hivyo sisi tukikupa dose ya virutubisho lishe vya miezi mitatu kwa Tsh 400,000/= itakuwa ni gharama rafiki sana kwako.

Lakini nitakushangaza kidogo dose ya miezi mitatu utaipata kwa punguzo la bei la Tsh 150,000/= yani wastani Tsh 50,000/= kwa dose ya mwezi mmoja.

kwani tunatamani kuona wagonjwa waliyo teswa na kisukari kwa muda mrefu wakirejea kwenye hali zao za mwanzo na kuyafurahia Maisha.

Lakini pia tunaamini wewe mara baada ya kutumia bidhaa utakuwa balozi mzuri wa huduma tunayo itoa kwa watanzania kama walivyo fanya wateja wetu wengine mara baada ya kushuhudua matokeo Chanya ya hivi virutunbisho lishe.

Ninahabari njema pia kwako wewe ambayo uwenda kuipata hiyo Tsh 150,000/=  kwa wakati mmoja ni changamoto.

Unaweza ukalipia dose ya mwezi mmoja au miezi miwili na kuendelea na mataibabu wakati ukichanga kupata pesa ya dose inayofuta

Lakini unapaswa kuhaikisha unakamilisha dose ya miezi mitatu ili kuona matokeo Chanya ya hivi virutubisho tena kwa mtiririko pasipo kupitisha wiki au siku kati ya dose moja na dose nyingine.

Bofya hapa kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari

 

Zingatia pia kabula ya Mgonjwa kuanza dose atafanyiwa vipimo vya kisukari na mfumo mzima wa hormone wa mwili

Kitu kitakacho Saidia kiwango gani cha dose mugonjwa apewe au virutubisho gani ambatanishi, anapaswa kupewa pia, ili mwishoni tushuhudie matokeo Chanya kwa mgonjwa wetu.

Kwenye vipimo hivi utachangia gharama ndogo sana sana Tsh 20,000/= tu ambayo tunaamini kabisa unahimudu, ukilinganisha na gharama za vipimo zilizopo sokoni kwa sasa.

Offer hii vipimo na dose haitadumu siku zote

Baada wiki mbili itarudi kwenye gharama zake za mwanzo ambao dose ya virutisholishe vya kuboresha afya ya mgonjwa wa kisukari utaipata kwa Tsh 300,000/= na vipimo utavipata kwa Tsh 40,000/= hivyo nakusihi kuwahi mapema kabula muda wa offer hii kupita.

 

Ofizi zetu zilipo

Ofisi zetu kuu zipo majumba sita, Barabara ya nyerere jirani na uwanjwa wa ndege wa Juliasi Nyerere. Na kwa wateja wetu wa mikoani nje ya Dar es salaam tunawafaamisha kuwa tunazo ofisi zetu katika mikoa yote Tanzania bara na visiwani hivyo Tupigie au jazo hapa chini na nasi tutakuelekeza wapi pa Kwenda kupata huduma.

Scroll to Top